Ni chizi anayeweza kusema eti Nyerere hajawahi kuwa raia wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni chizi anayeweza kusema eti Nyerere hajawahi kuwa raia wa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 3, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimesoma thread ya Faiza Foxy isemayo kuwa Nyerere hakuwahi kuwa raia wa Tanzania. Nimejaribu kuijibu mtandao ukagoma. Kwa ufupi ni kwamba mtu anayeshuku uraia wa Nyerere ni mgonjwa wa akili pekee. Nilidhani Faiza Foxy msomi kumbe bure. Anashangaa jinsi Nyerere alivyoweza kwenda masomoni Uingereza. Jibu ni rahisi kuwa wakati ule tulikuwa chini ya Mwingereza. Kama mantiki ni hayo, hata huyo baba wa Faiza Foxy hakuwahi kuwa raia wa Tanzania. Kuna haja ya watu kujisomea kabla ya kuchangamkia kuleta mada zisizo vichwa wala miguu. Hovyo.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kwa sababu mtandao unagoma ndio unafungua thread mpya? ukifungua thread mpya tu mtandao haugomi?? mpaka FaizaFoxy amekuchanganya hivyo ujijue una matatizo makubwa sana ya kisaiokolojia, nyie ndiyo mnabishana kwa kupiga vifua na kulamba udongo...kama mtu hujakubaliana naye why dont ignore her?? you serve lots of energy and time na utaishi maisha marefu...ona sasa muasisi wa Tanzania anaitwa siyo raia na ww una payuka hapa kuwa hana akili...in this case ww ndio huna akili kubishana na asiye na akili (kwa maneno yako)

  kama ww ni GT nenda kwenye thread yake kamuelewe, hajaanza FF alianza Mtikila....they may have reasons but wrong ones or right ones depending on their argument!!!!

  Kwa mfani nikisema mwaka 1954 Nyerere hakuwa raia wa Tanzania niko sahihi kwa sababu kipindi hicho hakukuwa na Tanzania..nikisema hivyo najisema na mimi pia

  povu jingi!
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu,
  Thread yako inaingilia uhuru wa mtu kutoa maoni yake. Imejaa kejeli, jazba na maneno makali bila hoja.

  Nakushauri urudi kwenye thread ya Faiza Fox ukamweleweshe kwa hoja na kuepuka jazba mpaka ueleweke. That is how the GT should be. Na ukumbuke kwamba uhuru wako unaishia pale wa mwenzio unapoanza!
   
 4. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapi dada faiza
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwanza thead ndio inazidi kupata michango, nashangaa watu wanakuwa wakali. GT wakiona thread haina mvuto kwao wanaipotezea.

  Pili siku zote mtoa mada na FF naona wanatofautina, so GT hataona ajabu wakilaumiana. Naamini FF anapita hapa kila siku atamjibu muda si mrefu.

  Na wewe mtoa mada, tofauti yako na FF haijaanza leo. Kama ni ukichaa haujaanza leo, sasa mbona ushangaa. Vipi kichaa akikimbia na nguo zako, uanfanyaje? Na kwa jinsi navyomfaham FF, ujiandae kupambana naye, tena bora umeanzisha thread mpya!

  My word:
  Ingawa Ml. Nyerere alikuwa binadamu na mapungufu yake, ila alihitajika mtu wa namna yake kwa wakati ule ili kufanikisha yote aliyotenda. Binafsi sidhani kama hawa jamaa zetu wa siku hizi wangepata nafasi ile wangefanya lolote la maana zaidi ya kupewa vijisenti kidogo kisha wakaenda kuishi hukohuko na kutuacha tukiishi na shida zetu.
   
 6. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya sasa mtandao haugomi, rudi kwenye uzi wa FF ukajibu hoja kabla mtandao haujagoma tena. Watu wengine wanashangaza sana. Inakuwaje akitajwa Nyerere wanabadilika lakini wakitajwa kina Mwinyi, Mkapa, Jakaya nk. aaah wanaona poa tu, tena pengine wakaongeza na kejeli nyingi! Kwa nini 'double standard?' Wote hao wamepitia uongozi wa juu kabisa ktk nchi yetu. Wote ni binadam, kila mmoja ana mazuri na mabaya yake. Kwa dunia ya leo wote wanajadilika. Tuache jazba tujibu hoja eeenh?
   
 7. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kosa la ki maadili kumtuhumu mtu (mfu) asiyeweza kujitetea
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Faiza Fox ni lile la imani ya mfumo kristo, ndio maana yeye hata siku moja hutomsikia akiwalaumu Mwinyi na JK, kUMBUKA MWISLAMU NDUGU YAKE NI MUISLAMU MWENZAKE.

  Hapo ndipo alipojikita FF, labda ningetumia fursa hii kuwakumbusha waislamu kwamba Rais JK aliwaambia wenzenu wakristo waliomba MoU na nyinyi ombeni, ni upuuzi kwa FF kukosa heshima kwa yule mzee ambaye yeye FF anadai hakuwa raia, kwangu uraia sio issue, issue ni je kati ya yeye ambae sio raia na hawa ambao ni raia ni yupi ameitendea Tanzania na kuacha Legacy?
   
 9. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ha!ha!ha!ha! hata ukiwa chz huwezi kulinganisha mazuri ya raia wa 4 na 1 ambae alifikiria matumbo ya weupe kuliko raia wake.
   
 10. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Kwani kumuelezea kwa mazuri pekee huyo babu bila kukosoa makosa yake ndo USOMI?Rudi shule wewe UKATAE UKILAZA ULIOKUGANDA!
   
 11. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ha!ha!ha!ha! hata ukiwa chz huwezi kulinganisha mazuri ya raia wa 4 na 1 ambae alifikiria matumbo ya weupe kuliko raia wake.
   
Loading...