Msaada jamani

STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
350
Naomba mdau mwenye data anisaidie, naitaji kujua Exchange Rate ya USD 1 = na TZSH ngapi. Naomba mwenye data hasa za jana na juzi ndo muhimu maana daily uchumi unayumba!
NOTE: SHUKRANI ZA DHATI NATANGULIZA!!
 
Kijana ombi lako si baya lakini hapa jibu litachelewa. Jaribu kutumbukia jukwa la biashara na uchumi.
 
Du post zisizo na tija ka akili za magamba kwa hiyo kesho unaweza uliza tukuchekie na muda au manzese yebo yebo ni sh ngapi vile? Aluuuuuu akili za kichina
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom