Hivi Tanzania ina Balozi wake nchini Botswana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tanzania ina Balozi wake nchini Botswana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Osaka, Dec 2, 2011.

 1. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kuna tetesi kuwa Tanzania haina Ubalozi nchini Botswana na badala yake Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ziko Afrika kusini.
  Kama ni kweli, kwanini inakuwa vile?
  Je ni nani Balozi wetu nchini Botswana?
  Kuna mtu hapa jirani yangu anadai ni Balozi nchini Botswana, lakini inavyoelekea anafanya kazi ofisi za SADC kule Botswana; infact pompous zake Lo, sijawahi ona, ni balaa tupu! Kama wadhifa huo ni wake kwanini atangaze kila kona kuwa yeye ndiye yeye.
  Hivi Balozi wa Tanzania nchini Botswana ni nani?
   
 2. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutumia neno tetesi nadhani limetumika vibaya katika maelezo yako. Si suala la tetesi bali ni ukweli kwamba Tanzania haina ubalozi nchini Botswana, balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini ndiye pia anaiwakilisha TZ huko Botswana. Pompous za huyo jirani yako ni matatizo yake ya makuzi tu, kwani hata angekuwa kweli ni balozi nyie majirani zake inawahusu nini? huyo jamaa kama anaishi Botswana huenda atakuwa ni mmoja ya mamia ya watanzania wanaoishi huko akifanya shughuli zake binafsi, asikusumbue.
   
 3. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu. Sina shida sana na mambo yake, its none of my business. Tatizo kuna mambo anafanya unethical kwa kutumia jina la Balozi, to make matters worse, kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanamsikiliza sana na kwa namna moja au nyingine sie majirani tunapata shida kwa ajili ya mambo yake
  Binafsi. Sijaingia deep sana, lakini mkuu nadhani umenipata.
   
 4. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa, pole sana kwa usumbufu. kama nilivyosema huyo jamaa ni walewale, itakuwaje ajisingizie kuwa ni balozi wa tanzania nchini botswana wakati hakuna ubalozi huo? kwa nchi za kusini; Namibia, Swaziland , Lesotho na Angola hatuna ubalozi. Huyo jamaa kwanini muda mwingi anakuwa mtaani kwenu badala ya kuwa kazini kwake? Huenda ni tapeli
   
Loading...