Je Nguvu na Umaarufu wa Lowassa CCM inatokana na uadilifu au Ukwasi?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Dhana ya kujivua gamba CCM inasuasua kutokana na nguvu ya kisiasa waliyonayo watuhumiwa.Je nguvu hii inatokana na uadilifu au ukwasi? Kama sababu ni uadilifu ni kwa eneo lipi? Na kama ni ukwasi ina maana sasa CCM kinadhamini wenye fedha zaidi ya wasionacho? Wana JF maoni yenu tafadhali.
 
nawachukia sana ambao mnajifanya hamuifahamu ccm na maovu yake!
acheni kufukia MJILEKEBISHE WANA CCM!
 
Tumechoka na upuuzi wenu, kuna thread zaidi ya 100 za Lowasa humu JF, kama shida yako ni maoni funguwa hizo thread utayakuta unayoyataka. this is nonsense thread.
Rubbish.
 
mbona topic haiendani na maelezo/swali??
unazungumzia nguvu ya ccm au lowasa??
 
Tumechoka na upuuzi wenu, kuna thread zaidi ya 100 za Lowasa humu JF, kama shida yako ni maoni funguwa hizo thread utayakuta unayoyataka. this is nonsense thread.
Rubbish.
Najua una hasira ndugu kutokana na hali halisi ila toa tu maoni yako ili wengine wajifunze.Tatizo la Watanzania akishachukia kitu hukisusa tatizo hapa ni kuwa wajanja watakukasirisha ili ususe wao wao waendelee kutanua.
 
Thread zingine wakianzisha member ambao ndio wanajifunza mijadala hapa JF siwezi kushangaa, lakini wewe ni member nguli hapa JF na unajuwa hapa kuna kipindi tulishachoshwa na thread za Zitto Kabwe mpaka tukamuomba Invisible thread zote za Zitto ziunganishwe, sasa na nyinyi mnaturudisha kule kule.
Ila kama upo kwenye payroll endelea nakutakia kazi njema.
 
Nembo ya EL ni utendaji kazi uliotukuka na uthubutu ktk maamuzi

I beg to differ, EL is a criminal.
He disguise himself with hard work hence traumatizing his colleagues who realize his embezzlement practices. Tunakumbuka saana alivyokuwa waziri wa aridhi enzi za Mwinyi, alizidiwa kete na jamaa anayeitwa Baghdad kwenye deal ya kuuziana Mnazi Mmoja ground. Bado kumbukumbu hazijafutika jinsi alivyokwenda Thailand kutafuta ma injinia wa kutengeneza mvua ili Mtera kujae, iliposhindikana akawaleta Richmond ambayo mpaka leo inatutesa.
Asubiri tu nguvu ya umma.

Wengi wetu tunamchukia EL kwa kuiga, kusikia vichororoni ama kwa kufuata mkumbo wa maadui zake ambao mpaka sasa wameshindwa kumuangusha.
 
Back
Top Bottom