Mh- A.Tibaijuka atembelea kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh- A.Tibaijuka atembelea kigamboni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kivia, Dec 3, 2011.

 1. K

  Kivia JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Waziri wa Ardhi na makazi mh. Anna Tibaijuka atatembelea ENEO LA MRADI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI[na kufanya mikutano ya hadhara] KAMA IFUATAVYO:-kata ya kigamboni[machava]-tar 6/12/2011, kata ya vijibweni tar 7/12/2011, kata ya somangila tar 8/12/2011, kata ya kibada tar 10/12/11 na kata ya mjimwema tar 11/12/2011 muda ni saa tisa mchana.
  Wakazi wote wa kigamboni na wamiliki wa maeneo eneo la mradi mnaombwa kufika. Waarifu na wengine upatapo ujumbe huu.[shime wana kigamboni]
   
 2. rfjt

  rfjt Senior Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa hii muhimu kwa wananchi wa Kigamboni.
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  katumwa na mwenye kiwanja chake mr.g.w.bush alivyokuja juz
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mbona haji huku Jangwani Beach kuona jinsi mafisadi walivyojenga barabarani ni kuziziba kwa jeuri ya pesa zao!! Sehemu nyingine halmashuri walivunja kufungua barabara lakini kwa jeuri ya pesa jamaa wameziba tena; hivi hawa jamaa wananguvu kuliko serikali?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Leo nipo huku,ctarud town had 2kutane
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Hana mpya,porojo tu.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  ujio wa bush huu mnatakiwa muondoke bush anataka eneo lake
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Bush in the house!
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Aaaagh bana mbona hawa kina bushi wanatucheleweshea izo ela, hawajui vitu vinapanda bei?? Mie wanipe milioni 180 niende nika mnunue mtu ubungo nifyatue kitu cha maana niamie huko bana maana ni mbali na tsunami uku kama kisiwawani
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Bush @ work::::::
   
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi inakuaje huko maana nilitaka kwenda kupanga kigamboni,emu naombeni mawazo maana nataka kwenda kulipia nyumba nimepata sehemu tatu na moja wapo nataka kulipia leo yaani vijibweni,visiwani na kwa mwingila
   
 12. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  She started with a lot of zeal i just do not know what happened along the way.
   
 13. K

  Kivia JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  usijali kalipie chumba uingie KWANi wapangaji ni miongoni mwa watu watakaolipwa fedha ya usumbufu.
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  ndg wala usiwe na wasiwasi kalipie tu na uamie kwani hii story ya kigamboni ni alfu lela ulela yani ni ya mda mrefu sana, huu mradi wala si wa kesho toa hata next 20 yrs to come
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Anamuonyesha Bush kuwa anajali na kulilinda eneo la wamarekani
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  thax mkuu
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  thax mkuu
   
Loading...