fundraising arusha na l.nyarando

fundraising arusha na l.nyarando

Sweetlol

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
102
Reaction score
24
Nimepita hapa mt.meru hotel nasikia usiku kunafundraising inafanywa na kina sitta nyarando na wanasiasa wengi huku wamealika vizito wengi wa hapa arusha.mwenye kujua zaidi atujuze jaman.niko hapa napata juice.karibun wadau
 
Back
Top Bottom