Miaka 50 baada ya uhuru : Tunawatenga wakulima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 baada ya uhuru : Tunawatenga wakulima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Dec 3, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimekuwa najiuliza hivi watu ambao ni wakulima wananafasi gani katika nchi hii

  Teusi nyingi hata zile za Kisiasa kama uuwaziri , ubunge, Uuu wa mkoa, Uuu wa wilaya , nk wengi wanaopewa nafasi ni watu kama vile wanashera, madaktari, walimu, wafanya biashara wachumi wahandisi,wanajeshi lakini hakuna wakulima au wafugaji

  Sijawahi kusikia mtu ameteuliwa nafasi za kisiasa kwa sababu ya sifa ya ukulima au ufugaji

  Je
  • Wakulima na wafugaji hawana nafasi katika uongozi wa nchi hii?
  • Watu waliobbea kwenye kilimo na mifug hawana mawazo yakutupeleka kule tunakotaka?
  • Kwa nn nafasi za upendeleo(viti maalum) eg bungeni zisitolewe kwa kigezo cha uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na mifugo.
   
Loading...