Mlemavu Sara wa Makete. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlemavu Sara wa Makete.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Dec 3, 2011.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nilipoona mazingira ya kufilisika kwa Sara aliyepewa bajaj na mr President, nilitafakari ya kwamba, kumpa hiyo bajaj bila msaada wa mafuta ya kuiendeshea kumepelekea, duka lake kufilisika.
  Msaada ni msaada, lakini msaada ule toka kwa kiongozi wa juu wa nchi mi naona ni kichekesho na kejeli.
  Anaweza kumfanyia msaada wenye kumkomboa, yeye pamoja na familia yake.
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mimi pia nilihuzunika sana nilipoona kipindi hicho.Duka limebaki tupu kabisaaa...Nadhani ni bora angeimbia halmashauri impe mafuta hat lita 5 kila siku.kwa bajaj ni mafuta meng sana hayo.
   
Loading...