Portable Generators | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Portable Generators

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndebile, Dec 3, 2011.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Wapendwa wana JF,
  Wengi mna uzoefu wa ubora wa haya majenereta madogo ya wachina,nataka kununua moja kwa matumizi ya nyumbani tu,bajeti yangu ni sh.300,000/ niambie brand gani ina unafuu hasa: utumiaji mdogo wa mafuta,imara kidogo,n.k. Soko limefurika kiasi sijuhi nichague nini!
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  funga sora achana na matakataka yanayo tumia mafuta itafika sikuu ngereja kazima umeme,ewura wamesala itakua yaleyale
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mhh tafuta honda bana,,, ukishindwa jaribu eleman au firman...fake afadhali
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  honda bei mkasi,ile ni safi tu,
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  sora sawa,kianzio kinaenda sambamba na tanesco,lakini mkuu ni kwa ajili ya siku za mgao maana sasa hivi mwendo ni mgao tu!
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sema kianzio lakini nadhani sora haupigizani kelele na mtu
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  nunua mishumaa box moja nadhani maisha yataenda sawia. Kwanini ujitese na mikelele isiyo na mpango.
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Boss ya 4 strok inafaa
   
Loading...