Wadaiwa kutumia kucha kutairi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadaiwa kutumia kucha kutairi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Dec 3, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii nimeipenda! Da yaani watoto huko Ntwara sehemu za Tandahimba wako hatarini kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na mangariba wnaowatahiri kudaiwa kutumia kucha zao kama zana za kutahiria.

  Source: Gazeti la Mwananchi toleo la leo.

  Mi naomba kuuliza, hizo kucha ni za aina gani? Yaani hunolewa ama wanamenya tu. Kama kweli basi wamasai wanatairiwa kwa starehe zaidi.
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hii kali, ina maana hata wembe hakuna??
  ni hatari sana kwa afya.
   
Loading...