Nani anaongoza kuharibu hela za noti?

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
eti ni nani kati ya hawa wafuatao wanaongoza kuharibu noti zetu na kuonekana kuwahi kuchakaa
1. Wauza mkaa
2. Wauza maji
3. Akina mama kuziweka kwenye matiti yao. Ongeza na wengine. Nashut down
 
WOTE,JANA NIMEMSHUHUDIA JAMAA KALIPWA tigo pesa baada ya kupewa alivyozikunjakunja zile noti mpk nikajiuliza km anaenda kufa nazo ama lah?
 
vibaka kwani wao huzificha katikati ya makalio ili hata ukimsachi usizipate
 
Wale wanaoziweksa kwenye mabenki nje ya nchi na kusema kuwa hawajaiba...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom