Ni kweli SURUPWETE la MKAPA limempwaya KIKWETE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli SURUPWETE la MKAPA limempwaya KIKWETE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 12, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wapo watu, katika kada mbalimbali enzi za mwalimu Nyerere waliwahi kusema kwa ujasiri kabisa bila woga kuwa. Maisha katika awamu hiyo yalikuwa mabaya afadhali yale ya enzi za ukoloni. Maneno yaliyomtia sana uchungu hayati Babu yule. Leo hii wapo wanaotumia usemi huohuo kwa kusema kuwa, maisha katika awamu hii ni afadhali enzi ya utawala wa MKAPA..

  Kigezo kikubwa ikiwa ni kupanda kwa gharama za maisha kutokana na mfumuko wa bei usiokoma. Hii inaashiria nini? Je, Suti aliyoiacha Mkapa imeku oversize kwa JK Kiasi cha kushindwa kuivaa?

  Amakweli ikulu si mchezo wa kitoto manaake hata vibibi kizee navyo vimezidiwa kiasi cha kupaza sauti kudai kuwa vimechoka! Watoto nao siku hizi wapo kwenye maandamano nao hawaogopi mabomu ya machozi. Kila mtu anasema kachoka, kila kikundi cha watu story ni tumechoka, kweli hali ni tata.
   
 2. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Nia na madhumuni ya hii thread ni nini.............unataka maoni, swali au unatoa tamko.
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  maoni, swali na tamko!
   
Loading...