Uncle Ben autamani tena Urais

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Rais mstaafu wa awamu ya tatu mheshimiwa Ben Mkapa ameonesha nia ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tz kwa mara nyingine.Rais mstaafu huyo anakubali kwamba kuna makosa aliyafanya enzi akiwa madarakani kama Rais.Mkapa anatamani kurudi tena madarakani huku akiwa na nia ya dhati ya kusahihisha yale makosa aliyoyafanya enzi akiwa madarakani.Tamko la mkapa linakuja katika kipindi ambacho C.C.M wanakuna vipara vyao kuhusu mgombea watakaemsimamisha kugombea nafasi ya urais mwaka 2015.Source:Gazeti la Tanzania Daima.
 
Bora Benny arudi na si huyu pimbi wa sasa! mtu gani anadanganywa kila kukicha!
Kadanganywa wakati wa kukabidhi ambulance,kadanganywa kwenye kukokotoa tarakimu za mapato na mgawanyo wake, wakati akizungumzia sakata la walimu alipohutubia wazee wa das'lamu, kadanganyiwa udokta ili wahusika walambe ubalozi pindi watakapo staafu kama jamaa wa pale udsm na yule wa muhimbili,kadanganywa kuhusu sheria ya uchaguzi aliyosaini kwa mbwembwe kwani ccm bila rushwa haiwezekani, na udhibitisho ni pesa zilizokuwa zikimwagwa kwa wapiga kura kumpitia mwanae, na kina Benno
Kadanganywa kwamba si kweli Wasukuma wanatumia mapanki kama kitoweo, akatoa povu wakati ni kweli, hali ni mbaya jamaa wanashindia mapanki, Alidanganywa atalindwa na mapepo ya Shekhe Yahya wakati ye mwenyewe yalishindwa kumlinda yakaruhusu akafa,kadanganywa aseme haijui dowans wakati yeye mwenyewe ndo dowans
Kadanganywa aanzishe mikoa mipya wakati hata iliyopo haimudu.

Jamaa full kudanganywa, ivi na vile vi suti si mwendelezo wa kudanganywa kweli!!
 
kadanganywa aseme uchumi wa nchi unakua wakati hali ni mbaya kuliko kawaida
 
Ben naye ana mapungufu yake lakini angalau yeye ni mtu anajua nini anafanya.
 
Anang'ata na kupuiliza akijua hatutamfahamu...yani ingekua ni my wish tungeunda jeshi la msituni tuanze mazoezi soon bfr 2015...tukitoka tunachinja mafisadi wote..au kama kuna mtu anaeweza kua sniper aanze kutuulia hawa watu
 
Lakini Ben alishasema kwamba ipo siku tutamkumbuka.

Mi nilianza kumkumbuka sana toka mwezi wa pili wa KJ kuwa madarakani. Huwa nakumbuka jinsi watu walivyokuwa wanatoa maoni kuwa katiba ibadirishwe ili benny agombee tena.
 
tulizoea jk nyerere,ghafla kaja huyu naye kaziteka initial za mtu aliyekuwa na weledi..usiniambie watu ndio walifupisha jina lake.
initials jk zina udhu,huyu acha aitwe kwa jina lake la mwisho tu.
 
Uncle Ben acha hizo bwana. Unakumbuka shuka na wakati kumeshakucha.
 
bora arudi, heshima ya hela irudi. maana yeye alikuwa nauwezo wa kudhibiti mfumko wa bei

wote wanaotumia "masaburi"kufikiri mara nying husahau yaliyotendwa na huyo MICHELIN. Fisadi ARUDISHE heshima gani?au ya kameruni
 
Bora Ben kuliko huyu anasingizia eti wakoloni ndio wametufanya tumekuwa maskini wakati alishawahi sema hajui kwa nini Tz.ni maskini hahahah huyu mtu ana vituko!!!!!
 
Back
Top Bottom