Bank kuu ya Tanzania (BOT) yatoa tamko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank kuu ya Tanzania (BOT) yatoa tamko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Dec 11, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Imesema noti mpya ni imara na hazitofautiani na noti za zamani. anasema noti za zamani bado zipo kwenye mzunguko kwa sababu zipo bank ambazo zina machine za atm zenye kutoa noti za zamani so wakizitoa sokoni mabank yatapata hasara sababu machine zao zitakuwa hazifanyi kazi. ametoa wito kwamba noti mpya zisikunjwekunjwe mala nne mala nane, zinakua zinachakaa. so kasema ni jukumu la wananchi na bot kutunza noti sababu zinaonyesha Taswira ya nchi kwa wageni. kayasema hayo HARRY MWANSEMBO. over
   
 2. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  BOT wameingia kwenye siasa na kusahau kazi zao.
  1.noti ni imara kama za zamani sasa kwanini wanasema zisikunjwa mara nane?. ingekuwa vema wangeandika ktk hizi not kuwa "tafadhari usikunje mara nne/nane
  2. walijua kuwa noti mpya hazitatoka kwenye ATM walileta za nini? sababu ta kuleta noti mpya kwa papara /haraka ilikuwa ni nini?
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yale Yale.....
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hivi inahitaji akili ya ziada kujua ubovu wa noti mpya? mbona watanzania tunafanywa ma.f.a.l.a sana na hawa watu tuliowapa dhamana ya kusimamia uchumi wetu?
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wasione aibu kuyarudia matapishi kwa kukubali kuachana na hizo noti mpya, tukaendelea na zile za zamani. Utetezi wao mwingi ni wa kipuuzi!
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kumbe eeh !
   
 7. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mpuuzi wahed ... Kuna counter kwenye noti inayoonyesha imeshakunjwa mara ngapi ili mtumiaji mpya ahakikishe haikunji zaidi ya mara 8?
   
 8. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hii nchi! Kila kukicha afadhali ya jana! Blah blah hata kwenye vitu vya msingi..
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamani hawa bot wamelogwa???? yaani walitengeneza noti bila ya kufanya utafiti??? au ndio zile noti ambazo kuna watu wako mahakamani wakishitakiwa kwa kufisadi mradi wa kutengeneza noti akiwemo wakina Jengo???
  Ilikuwaje wakatengeneza noti hizi wakati haziwezi kupita kwenye atm machine za banks zetu????
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  kweli nchi inaongozwa na vilaza lol..miaka minne iishe haraka jamani sasa
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Taswira ya nchi inaonyeshwa kwa mng'aro wa pesa? Wajinga sana hao watu. Na umasikini wote huu badala ya kufikiria namna ya kuinua pesa yetu wanafikiria namna ya kutoikunja ili wageni wawe impressed.
   
 12. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mi naona Book 10 na book 5 ni imara, ila mia tano mpya mi naona si imara.
   
Loading...