Ikiwa J. Kikwete atashindwa kuchukua Maamuzi mazito Mungu atachukua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwa J. Kikwete atashindwa kuchukua Maamuzi mazito Mungu atachukua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, Dec 12, 2011.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Habarin za Asubuh wana jamvi la jamii forum, nimechukua nafasi hii kwanza kusema siridhishwi hata kidogo na mwenendo na uwongoz wa Rais wangu J. K. Kwa kweli napenda kusema J. K. Ana lake moyoni, ambalo alijuwa, na kila kukicha anatudanganya wa watanzania kwa misemo na mithali lakini hakuna kitu ila kiza kimetanda.

  Kikwete ni Rais alie dhani kuwa serikali inaweza kuendeshwa kirafiki akasahau misemo na theory za uwongozi ambazo zinapinga kabisa urafik ktk serikal. Kikwete amevunja huu mwiko ndio maana amejikuta akiwa Rais wa kwanza baraza lake la mawaziri kuangushwa, haya yote ni majibu ya urafiki ktk serikali.

  Sasa majuzi amemnyima Sitta medali nina uwakika this is an end era. Mungu atashuka kuhukumu. I'm end
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wewe ni goigoi wa kufikiri kweli,yani unapima uongozi wa Kikwete kwa kumnyima Sita nishani kuwa ndio haufai.nadhani hii sio sahihi.Tanzania ina wazalendo wa kweli wengi tena ambao mchango wao ni mkubwa kuliko huyo mpenzi wako Sita.

  Hao waliotajwa na kupewa hizo nishani ni wachache mno pengine hata asilimia tano haifiki.

  Any way kwa kuwa mdomo ni wako u can rom to your ability na utapata wajinga wa aina yako watakaokuunga mkono na upupu uliotuletea apa great thinkers forum.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kichaa huwaona wasiovichaa kuwa ndio vichaa, umedhihirisha kwa vitendo!
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  NDO MAAMUZI MAGUMU! :nerd:
   
Loading...