WanaJF wenzangu habari za mida hii,Samahani naombeni kufahamishwa ni ajari gani mbaya zaidi ya barabarani iliyotokea kwa mwaka huu wa 2011?.tafadhalini nisaidieni maana nahitaji kuweka ktk...
Kuna taarifa imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa watu wawe na tahadhari kwani kuna uwezekano wa kunyesha mvua kubwa sana kama ilivyotokea hv majuzi.
Mvua hizo zitaathiri mikoa ya Dar es...
wale waliosema kuwa fundo moja tu la pombe litakupeleka kuzimu hawakuwa wakidanganya,kwani unaweza jionea ktk picha chini jinzi fundo moja tu la pombe ya Mpunga ilivyompeleka mlevi kuzimu
Wadau nimevumilia nimechoka, kuna miezi inayofikia minne hali ya ulipwaji wa mishahara hapa SUA si nzuri, mishahara hulipwa tarehe 30, 31, 1, 2 nk, na kila kabla mishahara kulipwa lazima itolewe...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwapokea wageni wake wa mradi wa mchuchuma na Liganga kutoka China ambao wamekuja kuanza kazi katika wilaya hiyo. Hii ni ndoto ya siku nyingi ya wakazi...
Taarifa za kiitelinjisisia nilizozipata jana ya kwamba watu waliokuwa wapangaji nyumba za jagwani wanandaa maandamano ya kupinga tamko la mkuu wa mkoa said mech said ya kwamba waliopanga nyumba...
kwa wale wanaoweza kupata tv za kenya angalieni wnzetu wanavyo tangaza matokeo yao wanavyoyapa umuhimu kama tz walivyoadhimisha miaka 50 ya uhuru kweli kenya wako serious sisi huku tunakurupuka
.......NUKUU..........Hii style yenu ya "peoples power.. peoples power" inatunyima usingizi na serekali inashindwa kufanya na kupanga miradi ya maendeleo kila siku tunawaza "peoples power...
JAPO nigarama sana .....yaweza hata kugarimu damu ya watanzania LAKINI ili KUTHUBUTU TUWEZE NA TUSONGE MBELE .....nilazima TUPATE katiba mpya .....itakayo tokana na wananchi wa TANZANIA kwasasa...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali(Mst) Joseph Simbakalia ametunukiwa Nishani na Papa Benedict XVI baada ya kuteuliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa ndiye Mlei bora kabisa kwa mwaka huu 2011...
Photo: Tony Fouhse/IDRC
UN researcher slams ‘racist' Oslo police
A Ugandan UN climate researcher has "reluctantly" accepted an apology from Oslo police after he was...
Wasalaam wana JF!
Kwa muda sasa kumekuwa na msukumo mkubwa wa kujaribu kulinganisha juu ya yupi miongoni ya viongozi wa CCM
ana "uafadhali" katika ugombea wa urais mwaka 2015.Wengi wametajwa na...
Ndugu zanguni napenda kutoa masikitiko yangu kwa wapendwa wetu wote waliokumbwa na maafa ya mafuriko jijini Dar es Salaam na pahala pengine popote pale ndani ya nchi yetu. Pia niwape pole ndugu na...
Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo.
Watu ni wengi pia samahani kwa kuwa title lilikuwa tufauti na maelezo lakini nimerekebisha.
Kwanza Shikamoo.
Nilikuwa nazunguka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Lindi na Mtwara, nasikia moja ya kampuni zinazonunua korosho ni yako wewe na
Riziwani, Eti ndio maana safari hii makampuni mengi...
Kama kuna viumbe wa Mwenyezi Mungu ninaoheshimu uwezo wao mkubwa wa kuandika na kuchambua mambo basi ni Mwanakiji. Licha ya hivyo binafsi sikubaliani na tabia ya Mwanakijiji ya kutuanzishia tovuti...
Hawa makruta kutoka CCP walienda matejo, wakashika machalii kibao na gongo. siku ya kwanza walifanikiwa.
Siku nyingine wakaenda, hiyo ilikuwa wiki iliyopita. Kumbe watu walikuwa wamejipanga...
Januari 5, naikumbuka vizuri sana hasa ya mwaka huu 2011 unaoisha, wanamapinduzi na wapigania uhuru na haki waliuawa kwa maksudi kabisa na jeshi la polisi kupitia kwa askari polisi waliokuwa...