Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam, Said Meck Sadiki Serikali imewaamuru waathirika wote wa mafuriko jijini Dar es Salaam waliohifadhiwa katika makambi ya shule za msingi na sekondari waondoke mara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Doomsday theory based on Mayan calendar Dating game ... Mayan Sun Stone Published: Today THE world will end in 2012 – that's what a growing number of people believe. Here Nick Pope, an...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
shime shime, nduguzangu wa mabondeni, mziki wa radi ndo huooooo umekolea masikioni na mwanga wa radi ucpime. Mungu atunusuru na janga hili Chukua tahadhali
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Serengeti kupitia tawi lake la mwanza limezindua bia ijulikanayo kwa jina la SENETOR yenye alcohol 6% ambayo ni mahususi kwa watu wa kipato cha chini. So walevi wenzangu tunafunga na kufungua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kupitia Magic FM kipindi cha michezo, mpiga kinanda maarufu 'Father Kidevu' ametutoka !
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yaani ndo nimefika nyumbani sasa ivi kutoka kazini, nilikuwa kwenye daladala ziendazo mabibo ambazo wakati mwengine hukimbia foleni kwa kuzungukia huu upande wa tanesco. Ukipita pale ni kweli...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Mh. Lyatonga Mrema na TLP yake wametoa mifuko 25 ya unga kwa waathirika wa mafuriko. Tunamshukuru mzee wa Vunjo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
serikali inataka kuwahamisha watu wote waliojenga mabondeni na kuwapatia viwanja maeneo mengine lakini hawa wananchi wanataka fidia pale watakapo hamishwa, hivi kuna uhalali wa wananchi hawa kudai...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwenzenu nimebahatika kusherehekea x-mas nikiwa mtwara. kama kawaida nilitembelea sehemu za vinywaji. Pub tuliyotembelea ilikuwa ina chini na juu. {ghorofa} mzee mmoja akawa hataki kukaa chini...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Hana tofauti na wanafunzi wa Udom, akiwa udms bangi ilikuwa ndio starehe yake. Kipindi hicho alikuwa radical sana, kumbuka wakati ule anafuatilia mikopo ya wanafunzi hesbl, alikuwa anavuta kwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata habari juu juu kwa msg kuwa kumetokea majanga la kufa kwa watu huko mererani. Wadau wa Arusha na manyara tujuzeni kama kuna janga lolote la kufa kwa watu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mlemavu anayeitwa hamis. Ana mke,watoto watatu na ndugu 4. Biashara yake ni bangi.ameweza kuoa,kujenga nyumba na kutunza familia kwa kilimo/uuzaj wa bangi. Tarehe 20 mwez huu alikamatwa na bang...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa wale wakazi wa maeneo ya Ifunda, Iringa au yeyote anayeweza kutolea ufafanuzi wa jambo hili, kuna sehemu TANESCO wamepigisha 90 degree turn power line yao ili kutopita juu ya Makaburi...
0 Reactions
97 Replies
14K Views
Imezoeleka kwa wabongo kuwa kuvaa jezi ya Tanzania ni kuonyesha umasikini wa kutokuwa na nguo,lakini imekuwa tofauti sana kwa baadhi ya wazungu,wameamuwa kutusaidia watanzania kwa kuitangaza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu mtumishi Kakobe, alizungumza kwa maneno yake kabisa kuwa kwa tukio la Ngeleja na Tanesco Nchi itakuwa Giza.. Yaani hakuna UMEME... na mengineyo. Na huu ni Mwanzo tu. Ngeleja nenda hata...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Kwamujibu wa Mh Hamadi kufanyakila kiwezekanacho lakini kuwa sugu kukiasha Chama kwa njia ya kistarabu basiimekuwa vigumu kwake. Hivi sasa ana vipimo vyote kuwahuyu mtu ni moto wakuuotea mbali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
New Year Wishes for You! May you get a clean bill of health from your dentist, your cardiologist, your gastro-enterologist, your urologist, your proctologist, your podiatrist, your psychiatrist...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
kwa kufuatilia kitabu cha the key of this blood,utaona jinsi freemansons na wakuu wa din zetu wanavyochangia ktk swalazma la "new world order"kama jf jiandae kwa upande uliosalama
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF,sina shaka mlikwisha sikia manung'uniko mengi kuhusiana na USHINDI wa Ubunge,Shinyanga mjini,kuwa mgombea wa CHADEMA,alishinda,lakini akatangazwa mgombea wa CCM,Bwana Masele...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali ya Hewa: Mafuriko makubwa yanakuja Dar Tuesday, 27 December 2011 20:41 YASEMA ALHAMISI HADI JUMAMOSI KUWA SIKU MBAYA ZAIDI, PIA KUYAKUMBA MAENEO MENGINE NCHINI Waandishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…