Mzungu atusaidia kuitangaza Tanzania ASIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu atusaidia kuitangaza Tanzania ASIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Dec 25, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Imezoeleka kwa wabongo kuwa kuvaa jezi ya Tanzania ni kuonyesha umasikini wa kutokuwa na nguo,lakini imekuwa tofauti sana kwa baadhi ya wazungu,wameamuwa kutusaidia watanzania kwa kuitangaza Tanzania ASIA kwa kuvaa jezi ya Taifa letu na culture mkononi,jambo ambalo sisi kwetu kuvaa culture tu unaonekana ni mvuta bangi

  tuamke jamani tutafanyiwa kila kitu hadi lini?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante mzungu! Wenzetu wa jirani (Kenya) hadi viongozi wao wa kitaifa wanapiga kofia zenye bendera ya taifa lao,ina maana viongozi wakuu hapa tz hawaoni? Au mpaka tufanyiwe na wazungu,tunaweza kutengeza khanga,fulana na kofia wakati wa chaguzi,tumeshindwa nini kuanda kofia,bendera,fulana na khanga zenye bendera yetu? Wapi uzalendo wa nchi yetu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu lakini cha mkononi ni cha bangili yenye nembo ya Kenya! Labda alitaka kuwaambia kuwa alikuwa E.Africa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  angalia shingoni,utamtaka jamaa na rangi za bendera ya Tz

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,387
  Trophy Points: 280
  Tanzania ? Toka lini watumwa wa nchi wakaipenda na kujivunia kunasibishwa nayo? Na hilo la kuvaa shanga na bangili -ho-ho-sorry haiwezekani labda avae mai waif wangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nadhani umefika wakati sasa tuone kuwa chetu ni chetu na ndio maana kikawa chetu na sio chao,tujivunie kuwa na chetu,kwa upande wangu nimejitahidi kufanya hivyo tena hadi ktk makongamano yao hawa weupe huwa napiga furana yangu yenye neno SWAHILI LAND,KARIBU TANZANIA,KARIBU MT.KILIMANJARO,
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ukiona hivyo ujue aling'oa demu bomba bongo..shukrani zake hizo
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kama ni hivyo tunamshukuru huyo dada aliyetusaidia kumvuta jamaa,matunda yake yameonekana
   
Loading...