Bwana Stephan Masele,hajiamini kuwa yeye ni, 'MBUNGE WA SHINYANGA MJINI'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Stephan Masele,hajiamini kuwa yeye ni, 'MBUNGE WA SHINYANGA MJINI'?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ghiti Milimo, Dec 28, 2011.

 1. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wana JF,sina shaka mlikwisha sikia manung'uniko mengi kuhusiana na USHINDI wa Ubunge,Shinyanga mjini,kuwa mgombea wa CHADEMA,alishinda,lakini akatangazwa mgombea wa CCM,Bwana Masele kuwa ameshinda! Sitaki kurudia hayo!
  Kwa muda mrefu,inazungumzwa kuwa,aliikimbia Shinyanga. Kuthibitisha hilo,binafsi,nimejaribu kumtafuta,cha ajabu hata wapambe wake wakati wa kampeni,hawajui alipo,sana sana,wanakuonyesha Guest aliyokuwa akiishi wakati huo!
  Nikaamua nimtafute kwa njia ya FACE BOOK!
  Huko nako,pamoja na kumtambua,kwa sura na jina,nikalewa kusoma kazi yake! Nilitegemea angejitambulisha kwa MBUNGE WA SHINYANGA MJINI,yeye kajitambulisha kuwa ni MBUNGE WA DUNIA!!
  Najiuliza,anajijua kuwa yeye si Mbunge HALALI wa Shinyanga mjini,mpaka anasutwa na nafsi yake kujitambulisha kuwa ni Mbunge wa Shinyanga mjini?
   
Loading...