Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=1][/h]
Kwamujibu wa Mh Hamadi kufanyakila kiwezekanacho lakini kuwa sugu kukiasha Chama kwa njia ya kistarabu basiimekuwa vigumu kwake.
Hivi sasa ana vipimo vyote kuwahuyu mtu ni moto wakuuotea mbali Wazanzibar, ukiangalia hivi sasa anachokorakila upande ili uchokoreke ,kwanza kamuanza Maalim,Jussa,Machano na hivi sasa nikupandikiza fitna Baina ya Cuf Zanzibar na cuf Bara.
Mimi nawashukuru sana viongoziwetu wa cuf Zanzibar hususan Maalim Seif kutokumjibu huyu , yeye HR ndio kitusio kitu hukimbilia vyombo vya habari na kujaribu kutaka kumzalilisha Maalim.
Hii ni aibu tusio itekemea Wanawa Zanzibar yako mambo mengi yalitokea huko nyuma ya tama za kilimwengu lakinihili la Hamad Rashid ni baya zaidi na tunasema amesha cross ktk red line.
Maana hivi sasa Hamad wapambewake ni Media na wachabiki wasio itakia meme Zanzibar na watu wake, ukiangaliavyama vyote kila chama kina sokomoko lake na mambo yake.
Lakini hivi sasa imekuwa hili laHamadi limechukuwa champion kwa kuwa tu walumbanao ni ndugu kwa ndugu damu mojana Wana wa Zanzibar hii ni aibu na yupi mwenye kujifanya jabari na kumtafuta nakumchokonyowa mwenzake ni Hamadi Rashid.
Hakuna shaka kuwa yeye ndioamekuwa mteja wao mkubwa vyombo vya habari na kwa vile muelekee wa Zanzibarhivi sasa ni mzuri na huku tukielekea katika katiba mpya ya Wazanzibar kutiamkono kizani Hamadi katuletea mapya nay a aibu kwa nchi yetu ya Zanzibar iliotulia hivi sasa.
Ndugu zangu Wazanzibar katikavipimo vyetu vyote inaonekana kuwa huyu mtu hana zamira njema bindipo wachakupewa huo ukatibu kwa style hii aliokuja nayo, lakini hata kubakia katikanyazifa za chama haminiki tena huyu.
Yeye anasema Chama kimekufaTanzania Bara na wakumbebesha lawama ni Maalim? Ama kweli fadhila za Pundamachuzi, Maalim huyo huyo ndio alokwenda kuwaangukia wazee wa Wawi wampitishehuyu HR lakini ilikuwa washa mbwaga kutokana na kuiuwa Wawi.
Huyu hana msada wowote kule kwaoalotowa Zaodi ya kuchaguliwa kuwa Mbunge na kukamata nyazifa mbali mbali Zaidihutowa hutuba huko kwa wakwe zake na mashemegi zake Wabara.
Na kama chama kimekufa Bara ?sababu tuseme huzijuwi? Au Hamadi umejipiga chindano yakupoteza fahamu?, Hakunaasojuwa kuwa kuja Serekali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar bada ya ccm/cuf kuwachatafauti zao za kisiasa na kujali Zanzibar kwanza siasa badae ndio wenzetuwakafanya donge na Chadema kukumba wafuasi wengi wa kafu.
Na Slogani walilolitumia Chademanikuwa tayari cuf imechakuwa ccm B na jengine nikuwa Zanzibar imevunja gatibaya Muungano kwa marekebisho ya katiba yao ya 1984 kuwa Zanzibar ni nchi na inamikoa yake na mipaka yake ya nchi.
Sasa chakujiuliza sisi kabla yaMuungano Tanganyika ijitayo Tanzania ilikuwa sio nchi na haina mipaka walamikowa? Au ndio choyo cha kuona Zanzibar bado ni koloni la Tanganyika ijitayoTanzania?.
Nanukuu poits zakealizozishikilia kuwa anavyosema ni haki yake kisheria kuwa HR awe Katibu mkuuwa Chama , a. anasema Maalim kazeka b. ana majukumu mengi yani ukatibu naUmakamo wa rais.
Sasa tuje kwake Nyani haoni ?Yeye Mh Hamad Rashid hawajatafautiana na Maalim ni rika moja na ikiwa kuzeekani yupi alikuja njee sana kufanyiwa oparetion ukiangalia Maalim nay eye?.
Na kama kutaka kumpokonya MaalimKofia 1 kati ya hizo mbili, Jee Nyani haoni Ku-n ? Yeye Mwenyewe ana kofiangapi?, kwanza ni Muwakilishi wa Wawi 1.)2. ni kiongozi wa kambi ya upinzani nac ni mfanya biashara marufu. Sasa Hamadi wangwana ana Kofia ngapi?.
Jengine nikuwa vyama vyote kwahili ni kitu chakawaita na hata mfumo wa binadamu katika jamii zetu uko hivi ?tuje mfumo hai wa dini yetu ya Kislamu ujakatazwa kuowa wake 4 kama utafanya tuuadilifu .
Na mfumo wa siasa ni hivyo hivyomtu anakuwa Muwakilishi na Mbunge na Waziri au naibu waziri ni Kofia ngapihizo? Hata Raisi wa Muungano Jkikwete ni Rais, na Amiri Jesh Mkuu na Mwenyekitiwa Chama?.
Sasa hukumu hii iwe kwa MaalimSeif tu, au ndio Maalim Seif ni (Bundi) akilia yeye huambiwa uchuro lakiniwakilia ndege wengine sio uchuro?.
Na Hamad huyo huyo Bada ya kukosaUwenye kiti ktk kambi ya upinzani aliunda kambi ndogo ya upinzani kwakushirikiana na Ana Makinda na Pinda ili tu kuwawekea kifua Chadema.
Sasa kama kambi kubwa ya Upinzaniipo vipi wewe unde ndogo? Au kwa kuwa hukupata uongozi wa juu katika kambikubwa? Lakini mimi nasema wangekuja wakampa huyu HR ukubwa Chadema basiningewaona mafala na angekivuruga chama chote huyu kwa kutumiliwa na vikoko waccm.
Lakini nazani Chadema walilionahilo, cuf walikwishanjuwa huyu zamani lakini arubaini yake ilikuwa haijafikatu, watu wa Wawi kama sio Maalim Seif kwenda kupinda makodi basi ilikuwa yukonjee huyu.
Mungu ibariki Zanzibar na fitnaza huyu mtu HR.