Holla Amigos! Mi ni mteja wa nbc tangu mwaka 2007 na nilifungua student account kipindì hicho na nimei2mia from that tym had mwaka huu. Weirdly leo nimeenda ku withdraw my money kwnye branch ya...
NAKUMBUKA nilipokua shule ya msingi na sekondari nili imba sana tena kwa shangwe na hamsa kubwa . nili imba TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE, NA NILALAPO NAKUWAZA WEWE PIA NIAMKKAPO NI...
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za nishati na Maji(EWURA) leo inatarajia kutangaza bei mpya ya Umeme,baada ya kupokea maombi ya TANESCO
SOSI:MWANANCHI
MY TAKE:WATANZANIA TUJIANDAE NA KIBANO...
serikali kwa kushirikiana na Manispaa waribuni miradi ya viwanja elfu 20, ili watu wajenge makazi bora, viwanja viliuzwa bei ghali sana ukilinganisha na kipato halisi cha Mtanzania, watu...
Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz
hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa...
wakazi wa kota za kaloleni mjini arusha wamegoma kuziachia nyumba zao ili kupisha uwekezeja.hili limetokea leo walipokutana na mkuu wa mkoa.wahoji muekezaji huyo ni nani?
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Bei mpya ya umeme inatangazwa rasmi tayari kwa kuanza kutumika hivyo wananchi tujiandae kwa hilo. Wana nchi tunaumizwa na viongozi wasiokuwa na huruma kwa wananchi wao...
Hawa FFU waliopo hapa UDSM na madefender yao siyo siri 2mewachoka tumechoka hatusomi kwa raha, ukitembea unakutana nao wameshika mabomu, yani hakuna Amani kwakweli mnasoma kwa mitutu.Hapa hall 5...
Hivi maswali yanayo ulizwa ITV kupitia Kipindi cha kipima joto Hua yana jibiwa na watu wangapi?
Walio jibu ndio ni asilimia 10 na walio jibu hawajui ni asilimia 90 hapana hakuna
Hizi asilimia za...
Jamani ninashauku ya kujua katika kipindi cha magazetini asubuhi Redio One, kwa mfano kama kila inapofika siku ya Jumatano watatusomea vichwa vya habari karibuni yote kasoro magazeti ya Udaku...
Hawa jamaa walio katika kitengo cha mita za Luku
wanaendekeza rushwa ile mbaya. Kama wewe ni mteja mpya
unaesubiri kufungiwa mita, au mteja ambaye ulishafungiwa
mita ikakorofisha na...
Jeshi la Polisi Mkoani Singida, limekataa kutii amri haramu ya Mkuu wa Mkoa huo ya Kumkamata Mwenyekiti wa Baraza la vijana Mkoa wa Singida, ndugu Josephat Isango hadi pale Mkuu huyo atakapofika...
Maeneo ya UDSM, Mwenge, mlimani city si salama kabisa. karibu kila siku watu wanalizwa, kama sio kuibiwa kitu ndani ya gari basi wanaiba kifaa cha gari. haijapita wiki jamaa yangu kaibiwa Laptop...
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/...
Picha kutoka katika maktaba ya nifahamishe
Sunday, January 08, 2012 9:22 PM
Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti tukio la kuhuzunisha lililotokea mkoani Shinyanga. Tukio hilo linahusiana na...
THREE hundred furious staff at a factory that builds Xbox 360s have said they will commit mass suicide if their wage demands are not met, it emerged today.
Employees at electronic giant...
Tangu mwaka jana kumekuwa na taarifa kwamba serikali inafanya utaratiwa utakaoiwezesha kudhibiti ulipaji mishahara kwa watumishi hewa. Njia pekee na rahisi iliyokusudiwa kutumika ni kupanga siku...