Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shikamoni wana JF. Sad & Fact. Ule mchezo wa maharamia kuiba kwenye magari ya watu ulioshamiri sana Mlimani City, sasa umepiga kambi Dar Airport.Kumekuwapo matukio kadhaa ya watu kulizwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iwarejeshe kazini wenzao 229 waliotimuliwa Waziri wa Afya na Utawi wa Jamii, Dk Haji Mponda Chama cha Madaktari Nchini (MAT), kimetoa saa 72 kwa serikali kuhakikisha madaktari waliotimuliwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna makabila mengi Tanzania bado wana mila na desturi mbaya; na kuna watu bado hawataki kuacha destruri na mila hizo. Napenda kuwafahamisha kuwa si lazima kuwafuata wazee wako walikuwa wanaamini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hatimaye Chama cha Wananchi (CUF) kimethibitisha kupokea taarifa ya wito wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, inayowataka kufika mahakamani hapo Januari 19, mwaka huu, kujibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amesema msafara wake alipokuwa ziarani Geita kupita kwenye mgodi wa Geita Gold Mine (GGM) Ijumaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bank ya Nmb tunaomba muwape Ambassadors wenu vyeti pindi wanapo maliza Muda wao. Kwani interview nyingi zina demand waoneshe validity ya wao kuwa ma ambassador wenu.pia kwa mfano mi ni mdada si...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana kuna uhusiano gani wa kifo na miezi ya mwisho wa mwaka yaani kuanzia mwezi wa 10-12 watu wamekuwa wakifariki kwa kasi ya ajabu.Nikafikiria labda sababu ni miezi ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kinywaji hakishuki kabisa hapa port view. vipi walio sehemu iliyo tulia, kuna nini huko msaada p'se!. au rugalo kimenuka!?. Mia
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kisa na mkasa cha mwaka champata Maggid MjengwaNdugu zangu,Hizi si habari njema. Juzi alhamisi kunako saa kumi na mbili na nusu asubuhi nilipatwa na balaa la barabarani.Ilikuwaje? Niliondoka...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Yani mirindimo ya sauti kama mabomu au fataki! Tujuzeni!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni zaidi ya msiba ....tulishirikiana kwa kila hali, ninasitisha kila kitu kwa ajili ya kuhitimisha safari ya mwisho ya dada yetu mpendwa. bila shaka mazishi yatafanyika kwa mkuya ifakara mjini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna kitu nashindwa kuelewa!juu ya hizi nafasi za maafisa uhusiano wa makampuni ya simu hapa nchini! Leo yupo tigo,kesho utasikia yupo airtel,kesho kutwa utasikia yupo voda!ni full kubadilishana...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Ndugu zangu, nimelazimika kusikiliza latin sombre himn...panis angelicus kumkumbuka mbunge wetu mh. Regia, ni mimi niliyeuliza lile swali la kuendesha gari na hali yake ile ...naomba radhi timing...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu,maeneo ya mbagala na kijichi watu wengi wameunguliwa na vyombo vya ndani kutokama na Tanesco kuzima na kuwasha umeme mara kadhaa jana.Pia pamoja na watu wa maeneo hayo kuonja ukali wa garama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
BOMOA BOMOA ILIYOENDESHWA na askari wa kiongozi wa kidini Josephat Mwingira USIKU wa kuamkia jumapili, umekiacha kiwanda katika uharibifu mkubwa wa mali. Kiwanda hiki kinapatikana karibu na SUMA...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani hii hali ya wananchi kuwa wanaingia migogoro na vyombo vya ulinzi na hata sasa kufikia hatua ya polisi kuwauwa raia sio halia njema hata kidogo inabidi utaratibu wa kuongea na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taratibu ya Trafiki kukagua gari mara tano au zaidi kwa safari isiyozidi 200 km ni usumbufu mkubwa(Trafik check kibaha,mlandizi,chalinze,mikese, morogoro round about) Gari ndio zile zile ,ukaguzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila mwaka aliyekuwa mnajimu na mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein alikuwa akifanya utabiri. Mwaka huu Januari 13, mrithi wa kazi zake Maalim Hassan Yahya Hussein...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…