Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa Blog ya Michuzi jana ilitoa picha ya tukio la Mindi Kasiga kuagwa akijiandaa kwenda...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Kwa kweli nimefurahishwa na staili yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Serikali! Naamini hamna sehemu ambayo ataitembelea TZ akakuta kuna usafi, hii ndiyo TZ yetu. Imejaa uozo, uozo mtupu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni uchungu mkubwa lakini Tutakumbuka kwa Upendo na Mengi Ulioyafanyia Taifani Mwetu! Tuna mengi ya kusema ila' God lead you to this point' Asante Sana kwa Utumishi Wako na Kufundisha Ni nini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikia kwenye taarifa ya habari kwenye radio kuwa jina la mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia rushwa ya zanzibar litapitishwa na baraza la wawakilishi baada ya uteuzi wa rais. Natumaini hata huku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natambua fika kuwa sisi vijana tunakumbana na matatizo mengi, tunazo changamoto nyingi zinazokwamisha kabisa jitihada zetu za kufika kilele cha mafanikio. Changamoto hizo hupelekea baadhi yetu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mungu tunusuru na maisha haya,maana hali ni gnumu hatujui nini hatima yetu.Kila kukicha heri ya jana,maisha yetu yamegubikwa na kila aina ya shida.Nchi yetu imejaliwa ardhi nzuri yenye rutuba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi binafsi nimeguswa na msiba wa Mbunge Regia. Lakini nilipatwa na mshituko niliposikia alikuwa akiendesha yeye mwenye kwa hii barabara ya Morogoro kwenda Morogoro. Kunahitajika uzoefu humu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita mimi na rafiki yangu tumepelekwa na mzee mmoja eneo la kisasa, Dodoma kutuonyesha viwanja vyake viwili anavyoviuza, sababu kubwa ya kuviuza viwanja hivo ni kwa ajiri ya kupata ada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale watu watatu waliokamatwa jumatano ya tarehe 11 jan pale UDSM, jana wamepandishwa kizimbani kwa kosa la "kupiga kelele" na "kufanya fujo".....mwenye kuijua sheria ya kuzuia kupiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
’KAMWE HATUTAINGILIA UTENDAJI WA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI, KWANI IMEUNDWA KISHERIA, MAMBO YAENDE OVYO YASIENDE OVYO HATUTAWAINGILIA KWANI TUTAKUWA TUNAVUNJA KATIBA, LABDA KUWEPO NA KELEKELE ZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati bado watu wakiwa katika majonzi mazito ya msiba wa Mh. Regia Mtema gari la Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu nusura iwake moto na kuwateketeza!!!!! Ajali hiyo ya moto ilitokea mkoani Pwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani waungwa kama kuna mtu anaifahamu COBA ( CATHOLIC OLD BOYS ASSOCIATION) na malengo ya kuanzishwa kwake atuaeleze humu ndani
0 Reactions
1 Replies
932 Views
HATA MIMI NINGEPENDA NIPATE POSHO NYINGI IWEZEKANAVYO NA KULIPA KODI KIDOGO IWEZEKANAVYO – HUU NDIYO UBINADAMU!! Hivyo basi si vyema kumwachia mlipwa posho kuamua alipwe ngapi na mlipa kodi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maoni ya katuni Sakata la mgomo wa madaktari wanafunzi limezidi kutikisa ambapo sasa Chama cha Madaktari Nchini(MAT) kimetoa tamko linalotoa saa 72 kwa serikali iwarejeshe madaktari wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kundi la vijana ambao inasemekana wametoka mpirani mitaa ya relini(mwananchi), wanapiga watu na kupora vitu. Kuanzia relini hadi huku mabibo mwisho watu wamelizwa sana yapata dakika 15...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
I am always deeply inspired and impressed with those young energetic and dedicated youth leaders and activists like the Late Regia Mtema.This is due to the fact that they are very few, Also It...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJf hebu tujikumbushe yaliyotokea katika msiba wa chacha wangwe "Kumeibuka utata juu ya kifo chake hasa kutokana na mkanganyiko wa taarifa baina ya mashuhuda wawili walioshuhudia ajali hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo ndo siku ambayo anaweza akazungumzia POSHO,
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu Jakaya wakati anaomba ridhaa kwa Watanzania ili aingie ikulu aliahidi ataleta MAISHA BORA kwa kila Mtanzania. Lakini ukiangalia kinachoendelea sasa ni MAISHA DUNI kwa kila Mtanzania. Nasema...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
katika bomoaboma za makazi na kuondolewa wafanyabiashara wadogowadogo (machinga) kwa nn mafundi viatu (shoe shine) huwa hawaguswi. Ni kweli ni state agency.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…