Mindi Kasiga aenda kuula Washington, Michuzi blog yachomoa picha za tukio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mindi Kasiga aenda kuula Washington, Michuzi blog yachomoa picha za tukio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jan 16, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa
  [​IMG]


  Blog ya Michuzi jana ilitoa picha ya tukio la Mindi Kasiga kuagwa akijiandaa kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Washington. Ghafla picha zile zilichomolewa toka kwenye wavuti. Wengi wanashangaa ni kwanini wahusika walifanya hivyo. Je ni kutokana Mindi kuwa mdogo wake Rahma Kharoos Kasiga anayesemekana ni nyumba ndogo ya bwana mkubwa au ile haya ya sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond? Wengine wanasema ni mtoto wa dada yake Anna Mkapa. Je sababu ni kutotaka watanzania wasijue jinsi watu wanavyohudumiana na kupendeleana mchana kweupe? ​
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwenye sherehe hata mawaziri waandamizi wawili walikuwepo nao ni william lukuvi na emmanuel nchimbi. Yaani ni hatari tupu nchi hii nafasi kutolewa kwa watu bila kujali qualifications isipokuwa ni uhusiano gani uliopo kati yako na wenye mamlaka ya kuteaua. Huo uhusiano unaweza ukawa wa; kimapenzi, kindugu, kifamilia, kirafiki, kidini, n.k.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Afadhali michuzi alizitoa, zinamuanika tu huyu dada na mashosti zake! Kha!
   
 4. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  daaaaaaah! kweli aliyenacho ataongezewa..............
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na wewe ulionacho hicho kidogo utakileta hapa kwenye internet tukile na chenyewe..
   
 6. E

  Emaglo Senior Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi imeshauzwa nashukuru share yangu nimeshaipata
   
 7. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama tuna waziri anayejua jukumu lake, huu UHAMISHO unatakiwa kufutwa haraka iwezekanavyo ili kulinda heshima ya wizara na serikali kwa ujumla. Huyu bint amekuwa anatumia hiki cheo kujitangaza, kitu ambacho ni mwiko katika utumishi wa uma.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mkuu usizushe mambo huyo Adam Gille, ni msukuma wa mwanza na baba yake alikuwa anafanya kazi Tanesco Kidatu, kama mwalimu wa chuo cha ufundi TTI, baba yake alihamia dar baada ya chuo kufungwa. Jamaa amefanya kazi channel ten kama mpiga picha. Mama yake alokuwa akimlea kidatu ni mwalimu pia, na kabla ya kuja kuhamia dar, alikuwa mwl mkuu wa s/m kicon tanesco. Wala usizushe mambo, hayo ni majina tu wala hana uhusiano na richmond huyo dogo
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  hivi huyu bwana mkubwa kuna mwanamke ambaye amemuacha kweli?
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  yaani hili kabila hovyooo!
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndyoko rudia kusoma story au kama huwezi basi jikumbushe mstari huu sherehe hiyo kuhdhuriwa na Adam Gile ambaye hatuna uhakika kama ana uhusiano na akina Gile wa Richmond, hopefully, utakuwa umeipata.
   
 12. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,733
  Trophy Points: 280
  Maji ya mto daima yanatiririka kutoka milimani kwenda baharini/ziwani na si vinginevyo.
   
 13. l

  lily JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna mwanmke aliyemuacha yeye na Gk wa TBL kitu kimoja kutembeza vidude vyao kila kona
   
 14. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hakuana cha kuula wala nini, ni maisha ya kawaida tuu,mshahara na nyumba, kikubwa labda achakarike kutafuta Investers .
   
 15. m

  mhondo JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Generalızatıon sıyo nzurı utakuta unawatukana hadı dada zako na mama yako kwa kusema hakuna mwanamke alıyemuacha. Na kama wewe nı mwanamke ına maana na wewe nı mmoja wao.
   
 16. ram

  ram JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Huyu Mindi ndo nani kwenye nchi hii?
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hivi kila mtu akienda kufanya kazi kwenye ubalozi anaagwa na mawaziri?
  kuna something fishy hapa.sisi sio wajinga.
  huyu dada kuna jambo sio bure.kama ni qualification na alistahili sherehe hiyo kuhudhuriwa na mawaziri ina umuhimu gani?
   
 18. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda ni marafiki nje ya kazi....lakini hii ifuti shaka lako
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Anaenda kula bata umangani je vigezo vilizingatiwa katika hiyo nafasi?
   
 20. K

  Kwitukutila Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Baba yake adam gille wa Chuo cha Tanesco + Gile wa Richmond = ?
   
Loading...