Mwanri, huyu Mwanri huyu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanri, huyu Mwanri huyu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Avanti, Jan 17, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli nimefurahishwa na staili yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Serikali! Naamini hamna sehemu ambayo ataitembelea TZ akakuta kuna usafi, hii ndiyo TZ yetu. Imejaa uozo, uozo mtupu, hamna cha CCM, CDM, CUF wala nini? Ni mind set zetu, corrupt country, kila mtu anakula ilipofikia kamba yake, naamini wasiokula kama mimi twaonekana wajinga na hatuna akili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

  Avanti Nawasilisha!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tanzania ya leo inataka wanaume majasiri na madikteta kama Mwanri!
  Hata kama atakuwa na agenda ya siri behind his commands, lakini at least kwa sasa anafaa na kuweka sawa sehemu zenye ubovu!
  BiG Up mKUU mwanri!
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Huku Kagera ndiye gumzo..........Muleba watumishi wako wanajinyea
   
 4. P

  Peter Nyanje Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, mimi ningefurahui zaidi iwapo angekuwa anachukua hatua stahiki pale anapotembelea na kukuta huo uozo. KUkagua tu miradi, kukemea, kuagiza na kuondoka bila kuhakikisha mabadiliko yanafanyika ili kurekebisha hali hiyo, haitatupeleka mbele
   
 5. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  alichokifanya mwanri nachukulia kama tv show!!!!sijamkubali wala nini......
   
 6. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Walinunua boti bovu kagoma kulidindua babu wa kichaga.
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwani kafanya nn Mwanri huyu? tujuzeni kinaga ubaga tafadhali,,wasimfunge gavana tu kama walivomfanya Magufuli Dr
   
 8. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kawaulize wakaz wa njedengwa utapata jibu kuhusiana na huyo unayemuona mchapakazi wako.

  Ameshawaliza masikini wengi.
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  jamaa anaonekana kuwa mtu wa kazi zaidi make jana alivokuwa anahakikisha tena kwa kushika futi na kupima mwenyewe na kugundua madudu nimeipenda, then anainama kwenye mitaro kuchungulia, niliona pale kwenye nyumba ya muuguzi alivyokuwa mbogo pale alipoona nyumba imeezekwa kwa bati za zamani hali wamepitisha seven milion ili na mabati mapya yanunuliwe!
  tumuombee nadhani vita anayoipigania ni ngumu sana, jamii ya mawaziri kama hawa ni wachache, hata mkibeza tv show je ni wangapi wanaenda na vyombo vya habari still hakuna tunachokiona?
  mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!Aggrey Mwanri is good!
   
Loading...