Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nalileta kwenu waandishi wa habari. Naomba sana mtusaidie kumulika utendaji kazi wa hospitali ya mkoa dodoma. Hosipitali zote za serikali zipo corrupt lakini hii ya dodoma no.1. Jaribuni kufanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Suala la timua timua hapa nchini. Imakuwa kama tz ni nchi imbayo ni tajiri wa wataalamu wakati hata wakologa udongo wa kujengea tuanawapata toka china, Tutafika kweli kwa mtindo huu tukisahau ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajf, poleni sana kwa msiba wa mwanajf mwenzetu na mbunge Regia Mtema (RIP). Pamoja na majonzi tuliyonayo, napenda niwasilishe sikitiko langu juu ya huduma za Tanesco. Tuliambiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nasikitika kuona wanaharakati kukaa kimya uku bei ya umeme ikipanda juu,nilithani sasa na sie watanzania tuanze kudai punguzo la bei ya umeme badala ya wao kuongeza bei! basi km ni hivyo basi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanzo sikufahamu mkoa gani unaoongoza kwa ajali Tanzania, kumbe Dar es salaam.. Tangazo linalohamasisha umakini wa madereva barabarani linasisitiza na kutukumbusha mwaka 2011 kuwa Dar , ambapo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi My name is Tracy i saw your profil today in this site(fwww.jamiiforums.com)and admire it,therefore i would like you to contact me back throug my email address thus:(tracykuma@hotmail.com)i will...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa ujenzi Dkt pombe Magufuli akiwa katika ziara zake,Juzi alipita Eneo lijulikanalo kwa jina Bahi-Road...na kuwatahadhirisha wafanya biashara waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara Watoke...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naibu spika wa Bunge mh. JOB NDUGAI,jana aliishia kulalamika juu ya tabia ya watanzania kupenda kulalamika,kupitia kipindi cha Dk 45 kirushwacho na kituo cha I.T.V,NDUGAI alilalamika juu ya kadhia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika salamu yake kwa waombolezaji,spika wa bunge mama Anne Makinda alitoa hotuba nzito fupi yenye maneno ya busara sana,kwamba Marehemu dada yetu Rejia ametuunganisha kwa utanzania wetu bila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Schedule za JK za kiswahili swahili hazina planning wala timing, kazuka sehemu kwenye tukio la nje huko Morogoro bila ya watu kucheki na idara ya utabiri wa hali ya hewa! Hizi ndizo planning za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Zoezi la kuhakiki wafanyakazi kigoma limeanza jumamosi(tr14/01/2012)mimi nimefanya jana,ila hakuna chochote,unatakiwa uwe na kitambulisho na saraly slip tu,unaweka sign ktk karatas zao ambazo zina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Watanzania tumelogwa au ndiyo ule wimbo wa magamba wa amani na utulivu. Nchi nyingi duniani hivi sasa wananchi wanaandamana kupinga maamuzi ya serikali zao kuhusu masuala mbalimbali...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanaonesha now,sijui kama nimechelewa sana!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekaa nasikiliza kpindi cha jahazi jamani kwanza wakaanza na topic ya leo usalama na umuimu wa kujihami na ajali zisizo na faida,nikajiuliza zipi zenye faida baada ya hapo akaanza kuelezea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hatukatai kwamba hakuna asiye mkamilifu lakini hofu tu inaweza ikakuepusha kufanya jambo lisilopendeza. kuna mavazi mtu akiyavaa kama ni baa au club hata kama si la kimaadili unapoteza kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Habari za mchana waungwana. umeme -je wajua kuwa kupanda kwa umeme ni kupanda kwa karibu kila kilicho lazima kwa maisha ya mwanadamu?-unga, mchele, maji, nk. Je wajua kuwa hali ya Mtz wa kawaida...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LEAVE WHAT YOU ARE DOING AND LET US PRAY !!! GIVE THANKS : Almighty Father creator of Heaven and earth and everything in between,We humbly come before you with thanks giving in our hearts...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Diwani wa Kata ya Machame Mashariki, Rajabu Nkya, akiwa karibu na mti ulioangushwa na wapasuaji haramu wa mbao katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na hivyo kusababisha uharibifu mkubwa wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Zoezi la kutoa leseni mpya bado linaendelea. Hapa kati kati kumetoa mengi, kwa mafano kupanuka kwa mianya ya rushwa, polisi wa usalama barabarani kupata dili, mafanikio kwenye kupunguza ajali za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
People do strange things, therefore weird laws are written to help straighten them out. Some of these bizarre laws almost seem like urban myths or too ridiculous to be real, yet odd as they are...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…