Regia ametuunganisha - Makinda

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Katika salamu yake kwa waombolezaji,spika wa bunge mama Anne Makinda alitoa hotuba nzito fupi yenye maneno ya busara sana,kwamba Marehemu dada yetu Rejia ametuunganisha kwa utanzania wetu bila kujali tofauti zetu kiitikadi.makinda alimwelezea Rejia kuwa alikuwa mchapakazi hodari,mwenye moyo wa kujituma na kujitolea bila kujali hali yake kiafya kuwa mlemavu.anasema Rejia alikuwa analea yatima,vijana na hata watu wazima aliokuwa anaishi nao nyumbani pamoja na kuwa hakuwa na kipato zaidi ya posho tu ya ubunge.nampongeza makinda kwa kutambua mchango wa rejia na kuuthamini.bravo makunda.tunataka viongozi wa aina yako ambao hawana kinyongo na vijana wao
 
Mi nadhani ni utamaduni tu ameutumia wa kumsifu mtu akishaenda mbele za haki.
 
aiseee:rant:

yote haya kwa nchi hii yanawezekana..risiti za hotel kubwa,laundry nk wakati ifakara chumba self 8,000/= na wengi hawatalala hapo wataenda asubuhi na kuondoka kesho hiyohiyo
 
Re: Regia ametuunganisha - Makinda
Si kweli. Taswira kama hizi msibani hazituunganishi.

r+b.jpg

Hakuna hata kiongozi mmoja mwenye busara ndani ya CHADEMA kuwaambia please don't politicize the funeral?
 
Si kweli. Taswira kama hizi msibani hazituunganishi.

r+b.jpg

Hakuna hata kiongozi mmoja mwenye busara ndani ya CHADEMA kuwaambia please don't politicize the funeral?
Jamani mkuki usiwe kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Lini CCM wamegundua si busara ku-politicize msiba kama huu wa Ndugu yetu Regia? Tashwira kama hizi hupamba shughuli zote za CCM ikiwa ni pamoja na zile zinazogharimiwa na kodi zetu yaani kuvalia mabango ya CCM kupamba majukwaa kwa rangi za CCM, na hata kuimba nyimbo za kutukuza CCM huku wakitumia vifaa na magari yanayogharimiwa kwa kodi zetu. Iweje leo iwe ni haramu kwa wanachadema kuvalia magwanda na kupamba bendera ya cama chao tena katika kumzika kada wao? Tuwe serious, tuache unafiki.
 
Kwa hiyo moral compass yenu mnaipata kutokana na kile wanachofanya CCM? Basi nyote hamfai, mna politicize misiba.

There was something bigger than CHADEMA's flag that could've adorned the scene at Regia's funeral, alama za Taifa, bendera za Taifa. Mwisho wa siku Regia alikuwa anapigania nchi, sio chama, Tanzania, sio, CHADEMA, nashangaa sana hakukuwa na mzee mwenye busara hata mmoja kuwaambia wenzake jamani eeh tusilete siasa za maji taka kwenye msiba?

Lakini zaidi namlaumu baba yake na Mama yake Regia ambao wame host msiba wa mwanao, yani mmekubali wanasiasa wa hijack msiba wa mwanenu? Kumbukumbu ya maisha ya mwanao is bigger than u-CHADEMA wake katika miaka ya mwisho ya maisha yake. Kwani ukimkumbuka mwanao unakumbuka CHADEMA? Siku ile unamzaa Regia CHADEMA walikuwepo? Leo unamuaga na mibendera ya chama msibani? Nini ubunge, Nyerere alianzisha chama na hakutandikiwa mibendera ya CCM msibani, alisema CCM si mama yake.

Watu wanasali na kumuimbia kwaya Regia kwa mujibu wa imani yake akiwa hai huku mbele yao kuna li bendera linaonyesha madole hewani, taswira gani hizi msibani jamani.... kichefu chefu!

r+b.jpg
 
Back
Top Bottom