Hali halisi tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali halisi tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Etairo, Jan 17, 2012.

 1. E

  Etairo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za mchana waungwana.
  umeme -je wajua kuwa kupanda kwa umeme ni kupanda kwa karibu kila kilicho lazima kwa maisha ya mwanadamu?-unga, mchele, maji, nk.
  Je wajua kuwa hali ya Mtz wa kawaida kwa sasa duni kuliko miaka 50 iliyopita? Je wajua kuwa wanasiasa na watendaji wasiowazalendo ndo sababu ya maisha kufikia hapa leo?
  Tujadili-nini kifanyike kunusuru wa TZ hawa? Tulalamike huku tukiwa majumbani au maofisini au vijiweni? au tuwe kama Nigeria ili bei ipungue? Najua wa TZ tunaogopa hata risasi za mpira na mabomu ya machozi je tuvumilie hali hii ili tuwe na kile kinachoitwa amani
  japo unalala njaa na watoto hawaendi shule?

  Jioni Njema. Fikiria na uchangie
   
 2. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni ukweli kuwa sote wa Tz ni Mafisadi, kwani maisha yatapanda baada ya muda kila mmoja ataangalia dili ziko wapi ili aweze kumeet hali ya maisha. Mkitoka mtaani siku ya kwanza ya pili utasikia tumechoka na maandamano rudini home. Chadema wameandamana hapa kuwapa wananchi elimu ya uraia wa bongo haohao wakaanza ohoooooooooooo maandamano kila siku wacheni tufanye kazi ohoooooooooooo blablaaaaa. Nafikiri wanachotwambia wakubwa kuwa kila mtu atauchukua mzigo wake ni sahihi, wacha tuuchuke mzigo siku ikifika tutawaadabisha watawala
   
 3. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,776
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  This was a golden chance kwa vyama vya upinzani kuingia mitaani na kuwaeleza wa tanzania ni kwa jinsi gani serikali yao ya magamba ilivyo haiwajali watu wake na ata vyama vya wafanyakazi mbona vipo kimya hivi havioni jinsi vyama vya wafanyakazi vya Afrika kusini na Nigeria wanavyo watetea wafanyakazi wao na raia kwa ujumla? Vyama vya wafanyakazi lazima vifahamu kua kuwatetea wafanyakazi sio tu kwenye nyongeza za mishahara bali ata pia kwenye garama za maisha mfano hawakufanikiwa kuishauri serikali kumeet viwango vya mishahara bado wakakaa kimya saivi maisha yamepanda maradufu bado wapo kimya au ndo serikali imewanunua? its time kwa watanzania kupinga huu ugumu wa maisha
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapa kunahitajika maajabu kama yaliyo kuwa yakitokea RWANDA na BURUNDI
   
Loading...