Ajali TANZANIA

RubenM

Senior Member
Apr 15, 2009
131
10
Mwanzo sikufahamu mkoa gani unaoongoza kwa ajali Tanzania, kumbe Dar es salaam..
Tangazo linalohamasisha umakini wa madereva barabarani linasisitiza na kutukumbusha mwaka 2011 kuwa Dar , ambapo wilaya zake Zina uwezo na hadhi ya mikoa haswa kwa wingi wa wakaazi na magari, KINONDONI, ILALA , na namba tatu ARUSHA KITAIFA...
MWANZO NILIDHANI MBEYA, na MORO ZIPO...
Kwa ajali hizo inamaanisha nini???
 
dar kila dereva anataka kuwahi aendako na miundo mbinu hairuhusu hapo sasa wakikutana madereva wanaotaka kuwahi wa upande huu na huu tayari wangongana maana hakuna wakumsubiri mwenzake apite kwanza ukitaka kuamini haya pita kwenye taa zikiwa zimezima na trafic hayupo au kwenye makutano pasipo na taa,,.;ushauri wangu kwa serikal baadhi ya ofisi zihamishiwe nje ya mji maeneo tofauti tofauti ili kupunguza msongamano mjini napia waongeze barabara zaidi,
 
Ni obvious kwua Dar itaongoza kwa ajali kwa sababu ndiko kwenye magari mengi. Pia, nadhani Dar inaongoza na kuwa na madereva wenye haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara
 
Back
Top Bottom