Hatukatai kwamba hakuna asiye mkamilifu lakini hofu tu inaweza ikakuepusha kufanya jambo lisilopendeza. kuna mavazi mtu akiyavaa kama ni baa au club hata kama si la kimaadili unapoteza kutokana na mahali penyewe, lakini inakuaje mtu anavaa kihasara halafu anaenda nyumba ya ibada? nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.