Magufuli achafua hali ya hewa dodoma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli achafua hali ya hewa dodoma.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Jan 18, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Waziri wa ujenzi Dkt pombe Magufuli akiwa katika ziara zake,Juzi alipita Eneo lijulikanalo kwa jina Bahi-Road...na kuwatahadhirisha wafanya biashara waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara Watoke wenyewe ndani ya siku kadhaa,na watafute pa kwenda mara moja, wakiongea kwa Masikitiko pasipokujua la kufanya wakahoji..mbona upande wa pili hauguswi akajibu hao sina shida Nao ndipo wafanya biashara hao kuhisi kuna harufu rushwa...kwani upande huo hausumbuliwi kwakuwa Unawafanya biashara Wakubwa.
  Source.kutoka eneo la tukio
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pumba tupu hakuna cha maana katika post hii
   
Loading...