Ikulu, chekini na idara ya hali ya hewa!

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
JK+akielekea+jukwaani+kuhutubia+wananchi++baada+ya+kuweka+jiwe+la+msingi+kwa+ujenzi+wa+soko+la+kijiji+cha+Mtamba%2C+Morogoro+vijij.jpg


Schedule za JK za kiswahili swahili hazina planning wala timing, kazuka sehemu kwenye tukio la nje huko Morogoro bila ya watu kucheki na idara ya utabiri wa hali ya hewa! Hizi ndizo planning za viongozi wetu, halafu tunajiuliza kwa nini wanatuingiza chaka kila siku.

 
Hiyo heading yako IKULU kuna nani sijui unaye mpa ushauri maana wote wako likizo tangu2005
 
Back
Top Bottom