Asante Sibuka Tv kuonesha matukio ya kumuaga Mh Regia Karimjee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante Sibuka Tv kuonesha matukio ya kumuaga Mh Regia Karimjee!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MTAZAMO, Jan 17, 2012.

 1. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Wanaonesha now,sijui kama nimechelewa sana!
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  kwa ambao hawakuhudhuria angalieni Sibuka Tv now!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hao mmiliki wake George Nangale alikuwapo hivyo walikuwa wanatumikia mabwana waiwili
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  hotuba ya Dr Slaa now na ameitaja JF kama moja ya walimu wa Dada Regia!
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  sasa mh Mbowe,anaongea kwa utulivu sana!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wonderful!
  Afadhali hawa wametuokoa!...wengine tunaishi uani kwa nchi, hii ndio kama 'live' yetu!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante mkuu kwa taarifa......ndio tunafuatilia.....
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Mh mbowe anasema alipokwenda Machame girls risala ya kumpokea ilisomwa na Regia Mtema na ndio ulikuwa mwanzo wa kufahamiana!
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hii ndio tv gani tena na inapatikana mikoa ipi
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mambo ya king'amuzi cha Startimes!
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Mkuu inapatikana kwenye decoder ya startimes!
   
 12. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,736
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,627
  Trophy Points: 280
  hawa sibuka wana akili sana. kipindi cha kampeni walikuwa wanaonyesha mikutano ya chadema mwanzo mwisho. hata maandamano ya chadema wanaonyesha mara kwa mara. sijajua wamili wa hii tv na ile radio ya times fm. hivi vyombo vipo makini sana. Mia
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  asante Sibuka tv! Wamewatendea haki ambao hawakuhudhuria!
   
 15. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii sijafunga bado natumia dstv kumbe kuna mambo mazuri mle
   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Sugu anasema Regia ndio alikuwa jirani yake kwenye siti za Bungeni na kila akitaka kutoa hoja alikuwa lazima amshirikishe!
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,531
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Usitoke DSTV mkuu! Startimes hamna kitu!
   
Loading...