'Watanzania wanapenda sana kulalamika'-ndugai alalamika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Watanzania wanapenda sana kulalamika'-ndugai alalamika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jan 17, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Naibu spika wa Bunge mh. JOB NDUGAI,jana aliishia kulalamika juu ya tabia ya watanzania kupenda kulalamika,kupitia kipindi cha Dk 45 kirushwacho na kituo cha I.T.V,NDUGAI alilalamika juu ya kadhia nying Sana
  1.Alilalamikia tabia ya baadh ya Watanzania kupenda kulalamika baada ya kuchagua viongozi wao,ntamnukuu kwa juujuu'watanzania leo wanakuchagua,kesho wanalalamika eti Kiongozi fulani hafai'

  2.NDUGAI analalamika kuhusu posho,kwamba mhimili wao unapata kiduchu sana,hata mishahara ya wabunge si sawa na maofisa wa TANAPA,TRA,BANDARI na NSSF, kuwa wao wanalipwa vizuri sana zaid yao(wabunge).Ndugai analalamika kuwa wao hata posho zao ni kiduchu,kama tungejua za idara na taasis nyingine tungejinyonga,so anataka waongezewe.

  3.Ndugai analalamika kuwa watanzania ni wavivu,hawapendi kufanya kazi,hasa watumish wa umma,amelalamika kuwa wao hufanya kazi kwa muda mchache sana.

  4.NDUGAI analalamika kuwa watanzania tunapenda sana siasa,hata kama si jambo la siasa lakin litafanywa la kisiasa,
  My take:ulalamish wa watanzania unatokana na sisi wa'tz au watawala?
   
 2. O

  Ongeauchoke Senior Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jua kuwa wabunge walitafuta ubunge ili wakashibishe matumbo yao. Pamoja na kuwadhulumu wapiga kura wao; ikiwa Mbunge analipwa kuwa nje ya kituo chake cha kazi anapokwenda bungeni kwa nini alipwe posho ya kikao wakati aliomba kuwawakilisha wananchi kwenye vikao hivyo. Baadhi ya waunge wenye uchungu na wananchi wao wamekataa kuchukua posho. Kama Bunge liliunda tume kuwachunguza akina Jairo, Kikao cha Bunge kilichopita inasemekana wamechukua posho ambayo haijaamriwa na mkubwa wa nchi kwa nini utawala wa Bunge uamue kutumia fedha ambayo haijaidhinishwa? Uongozi wa Bunge uchunguzwe pamoja na wale waliopokea posho ambazo hazijaidhinishwa wachukuliwe hatua.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  @ongea,kweli umeongea,ila sasa NDUGAI analalamika kwakua raia tunapenda Kulalamika
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hapo na yeye si analalamika?kwahiyo ngoma draw...hawa wazushi wanataka tuwaone miungu watu kila wanachokifanya hata kama ni uchafu wanataka tufurahie tu..no way hatuwezi kukubali kuonewa hata kama tuliwachagua wenyewe
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  sidhani kama alikua ana lalamika kama ambavyo unataka kuniaminisha..wewe mtoa mada unaingia kwenye kundi lile lile alilolisema la watanzania ambao mnachagua kiongiozi leo kesho mnaanza kumchukia na kumuona hafai..

  mimi ni mwanachama mfu wa ccm lakin kimsingi alicho kiongea kwa mtu makini ukiacha ushabiki wa kisiasa ukirudi kwenye facts ni point tupu..

  nashawishika kwamba una agenda zako tu...kimsingi wootee mnapiga kelele posho mara hivi mara vile lakin hakuna hata mmoja aliekuja na njia mbadala ya nini kifanyike..

  hata ww mtoa mada una lalamika..ni mtazamo wangu huu..si lazima ukubaliane nao

   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mi ndo hata chama sina,pia sina agenda ya siri,ila NDUGAI nae alilalamika though alitoa njia mbadala,na kulalamika kwake ni kule kusema mbona wao wanakula posho?hayo ni malalamiko
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuna mdau analalama kuwa ndugai hajalalamika
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hao wote kundi mmoja.hasa tunyamaze kwasababu tunaambiwa tunalalamika sana?anataka njia mbadala ya posho?mi naona mishahara yao inatosha sana
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kitakuja kunuka siku moja na adabu itakuwepo RWANDA na BURUNDI
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wao wanajua wamejichagua.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  siku zote alikua wapi?kutoa mbadala,nae c alimlalamikia sumaye?
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kadri makali ya maisha yanavyoongezeka ndivyo hali inazid ku'change
   
 13. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  ​Mi nafikiri Job NDugai hakusema ukweli, na Ninashangaa kwa nini hata Mtangazaji hakuliona hilo. Kama ni kweli maafisa wa serikali wanalipwa vizuri na wanaposho kibao, YEYE ALIKUWA AFISA WA SERIKALI KWANINI BASI ALIACHA KAZI AKAENDA BUNGENI??????
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dk 45 hazitosh,waweke dk 90,waweke live show,wadau 2pge simu
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sisi ndo tunafanyia siasa kila sehem ama magamba ndo wamepenya mpaka elimu ambayo ndo inatakiwa kulikomboa Taifa
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jk alisema ni wakati wa haki sawa pasipokuangalia uwezo wa mtu sasa haya ndio yanachangia kuidhoofisha serikali yake pamoja na chama
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  eti eenh!
   
Loading...