Tumechoka na habari za Lowassa!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna watu wengi tu wenye sifa za kushika hizi nyadhifa ambazo Lowassa anang'ang'aniziwa? CCM wanamuita gamba, CHADEMA wanamuita fisadi! Je, sisi raia wa kawaida kwa nini tunamng'ang'ania Lowassa? Hivi watanzania kiongozi lazima awe anahonga watu pesa na vijizawadi ndo achaguliwe? Lowassa amekuwa mzigo, hatufai! Siyo lazima Lowassa awe rais wa Watanzania! Wanamsafisha Lowassa wafikirie mara mbili mbili!
Naweka jamvini..!!
 
mmechoka wangapi? Nakama hamtaki simuache kusoma hizo post au hamieni facebook ndio panawafaa
 
Kweli mkuu, hizi thread za EL zina boa sasa!
Itakuwa EL, amemwaga fedha lukuki kwa hawa jamaa. To make matters worse, contents za thread hizo zote zinafanana.
 
MPONOELO, umma wa watanzania upi unaomuhitaji Lowassa? Na wanamuhitaji kwa lipi?
 
mi nimechoka chok juu ya thread za lowassa na jins mnavyozidi kuandika habari zk ndo mnazidi kuharibu
 
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna watu wengi tu wenye sifa za kushika hizi nyadhifa ambazo Lowassa anang'ang'aniziwa? CCM wanamuita gamba, CHADEMA wanamuita fisadi! Je, sisi raia wa kawaida kwa nini tunamng'ang'ania Lowassa? Hivi watanzania kiongozi lazima awe anahonga watu pesa na vijizawadi ndo achaguliwe? Lowassa amekuwa mzigo, hatufai! Siyo lazima Lowassa awe rais wa Watanzania! Wanamsafisha Lowassa wafikirie mara mbili mbili!
Naweka jamvini..!!

Mbona hata hii habari ni ya lowassa???
 
Mkuu nashukuru sana kwa post yako ambayo umewakilisha kitu ambacho kinakera wengi sana nje na ndani ya jamvi. Kwani mpaka sasa hata vyombo vya habari vimefika kumtangaza kuwa waziri aliyestaafu badala ya aliyejiuzulu kama tulivyokua tukijua tangia awali
 
mmechoka wangapi? Nakama hamtaki simuache kusoma hizo post au hamieni facebook ndio panawafaa

Ingekuwa jambo la busara kama mngehamia nyie ambao mnafanya hili jukwaa ni la kuwasafisha mafisadi
 
kama mmechoka sisi tufanyaje?
A%20S-coffee.gif
 
Alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani. Viva sana EL.

Tangia lini Mungu akabariki mafisadi jama ama mnatumia vibaya jina la Mungu kama mlivyosema ile 2005 na sasa Mungu akatudhihirishia kuwa halikuwa chaguo lake kwa vitendo
 
Back
Top Bottom