Madaktari mimi na katibu mkuu wa wizara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari mimi na katibu mkuu wa wizara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nandipha, Jan 23, 2012.

 1. n

  nandipha Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mama (Blandina aliwahi kwenda pale MUHIMBILI na kukuta wagonjwa wamejaa na wengine wamelala chini, alichosema ni " Sitaki kuona wd zikiwa chafu namna hii wawekeni hao wagonjwa chini ya uvungu wa vitanda corridor zote ziwe safi". Sasa kwa akili ya kawaida tu hata angesoma hiyo medicine wangemdisco semester ya kwanza, she inhuman and arrogant na hana haiba wala :eyebrows:huruma ya kike hana, na mjeuri huyo wampeleke wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa huko panamfaa kwa wajeshi anawaonea madaktari kwa kuwa ni watu wanaofundishwa kuwa na huruma muda wote.
   
 2. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Dua la kuku halimpati mwewe. Nyie mutaishia kufanya mikutano isiyoisha hapo Don Bosco lakini Blandina Nyoni atabaki kuwa katibu mkuu mpaka yeye mwenyewe atakapochoka. Hamna uwezo wa kumfanya lolote kwa vile yeye ni mteule wa Rais na yeye aliyemchagua anaridhika na utendaji wake
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kudadadeki,hata mteule angeweza kusema haya?
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Haya yote ni propaganda za uongo zinazosambazwa na watu ambao Blandina amewazibia dili zao za wizi katika sehemu ambazo ziko chini ya himaya yake. Huyu mama kwa wale wanaomfahamu ni mtu mwenye huruma kwa wagonjwa na wale wanaosema anakiburi ni wale watu wenye tabia ya kujipendekeza pendekeza kwake kwasababu sio watendaji!! Hizi zote zinazoandikwa magazetini na kwenye social media ni spin za maadui wake kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini eti katibu mkuu aende Muhimbili awaamuru wagonjwa wawekwe chini ya uvungu ili corridors ziwe safi!! Muogopeni Mungu kwani kusema uongo ni dhambi mtakayohukumiwa nayo hapo mtakaposimama mbele ya haki!!
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hivi wewe hujawahi kusikia alivyokuja rais wa marekan barabara zilidekiwa?? au ata sasa uko kwa mh Sumari alietangulia kua barabara zilkua zinatengenezwa usiku na mchana? au BUSH alivyoenda AMANA wagonjwa wanaolala wawili kitanda kimoja baadhi yao walifichwa? BLANDINA hakupaswa kujifanya yeye ndo TOP sasa akawatibu wagonjwa...au na kesho JK ataenda mahakamani kutengua mgomo km alivyofanya kwa waalimu lakini atazika sAA NGAPI? SIPATI PICHA wapiga kura wa JK watakavyo kufa km kuku mwenye MDONDO
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yuko wizarani, madaktari walioko muhimbili, amana, mwananyamala kwingineko azibaje dili.
  Ok msemaji wa Nyoni, huyo mama anakutoa vizuri eeh?
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 10. K

  Karata JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ulishamsikia akisema hayo maneno au ndo yale yale ya "gutter politics"?
   
 11. n

  nandipha Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msadie kuelewa huyo ps wa Bl. Nyoni mwambie wafanyakazi wa afya hawajui dili ndiyo mana walichagua hiyo fani , ila huyo muhasibu ninmajuzi tu kawashonea sare wafanyakazi wa MNH kila mmoja pea tatu na kila pea ina gharama ya Tsh. 200,000 na kwa kawaida unform allowance ya serikali iliyopitishwa ni Tsh.120,000 kwa mwaka ambayo huwa hawapewi mara zote. Sasa mwenye dili hapo naniiiiii?:eyebrows:
   
 12. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Its a rule of power - You must at all times make sure your hands are clean, never leave a mark behind you...
  Hapo ndipo aliposhindwa Blandina. Mchapakazi lakini, anajitahidi sana.
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kiburi kitamponza huyu bibi
   
 14. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WACHA MANENO HAPA HAKUNA MAHUBIRI.... HAWA AKINA NANI?http://4.bp.blogspot.com/_NHbrRHOrCyY/S-0aBHEovpI/AAAAAAAAAqA/8ZzKezJqgXk/s1600/Upungufu+wa+vitanda+vya+kulala+hospitali+ya+Mwananyamala+7+Oktoba+2008%5B1%5D.JPG
   
 15. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nawapa pole wafanyakazi wa sekta ya afya dhidi ya kiburi cha huyi Blandina Nyoni. Alipoondoka Mali Asili tulijiona kama mtu ametufungua minyororo ya utumwa na unyanyasaji, kwa hiyo nanyi vumilieni tu mpaka Benno Ndullu au Kitillya atakapostaafu. Mkulu anamuandaa kuchukua ugavana wa BOT au kamishna general wa TRA. Kuweni wapole hapo afya bado yupoyupo.
   
 16. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Walikuwepo wenye viburi...walikuwepo wenye majibu ya kejeli...na sasa wamebaki historia! Huyu (Blandina Nyoni a.k.a Madame Le Grande) naye atapita, lakini si fani ya udaktari anayoidhalilisha...haitapita kamwe!

  Anatutukana madaktari wa walalahoi na hospitali zetu za 'mbavu za mbwa' ambazo zipo chini yake...lakini akienda huko akaoona yeye ndio hospitali, madaktari hao hao wanamlaza chali na kumchapa madole ya **** kwa hiyari yake mwenyewe!
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  watu wa kigoma kibondo na kasulu hampo wajamini
  si mumchape radi tu ya sh 20 azimie kwishney kazi yake
  kwa kauli yake atasababisha vifo vingi visivo na hatia
  madaktari ni wa kuheshimu sana hao hao watamtibu akimuwa
  anatukanaje mamba kabla hajavuka mto?
   
 18. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dr. Riwa Heshima yako mkuu...umeongea point sana mkuu...huyu mama hapati hata hofu anayowafanyia Madaktari watalipiza kisasi? usitukane mamba kabla hujavuka mto
   
 19. l

  luckman JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  nadhani ni muda muafaka kuwa na mchakato huru wa kuwapata wafanyakazi wa uma wenye maadili na kujituma, wenye kuwa na wito na sio watu kama nyoni!
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Blandina Nyoni-Mariedo
   
Loading...