Clouds fm na kampeni urais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds fm na kampeni urais 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 3squere, Jan 23, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  .COM Sasa hivi kwenye redio ya mawingu wanamkapenia asharosi migiro eti sasa ni samu ya wanawake wanawambia wasilizaji kutuma sms kutoa maoni yao kuhusu asha kuwa rais ajae.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  wanawazimu hao, nani kawaambia lazima rais atoke CCM? mtazamo wa kijinga kama huo ndio unalipeleka taifa hapo lilipo kwa sasa, najua ndio mtazamo hata wa vyombo vyetu vya usalamaa, sasa wanashindwa fanya kazi, sasa wanaanza kampeni za urais 2015
   
 3. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hawa Clouds wasipoangalia wataishia pabaya sana. sijui kwanini wanachanganya siasa na intertainment!!!!! sielewi
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heeeeeeeee hujui kuwa wanapata ruzuku kutokaaaaaa nani hiiiiiiiiiiiii, kibonde naye atakuwa na nihii wa viti maalum, cluouds you are boring.
   
 5. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kichefuchefu hii media. Hivi kunawatu wanaisikilizaga hii Radio na je bado iko hewani kweli? Kwangu hawana mwelekeo
   
 6. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  sio clouds tu,kuna hata magezeti kama mwanahalisi daima wanaipigia chapuo chadema? to me media's zenithal role ni kupoison umma
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Kama Rais mwanamke kwanini wasinge mkampenia CHIKU ABWAO wa CHADEMA?
   
 8. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  weeeeee kwan Chiku katoa vijidola vya UN?
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hata mm nimeisikia hii mada!hivi sheria inasemaje?hapo hawafanyi kampeni wakati mda wa kampeni haujaanza?Tume ya uchaguzi inabid watoe ufafanuzi kwa hili la kupiga kampeni wakati mda haujafika
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,559
  Trophy Points: 280
  hawa paka shume yan wananoboa kweli. clouds fm is good for nothing
   
 11. p

  pilu JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi bado mnasikilizaga clouds radio!
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Clouds ni vilaza2 walamba nyayo.
   
 13. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Antivirus kiboko yao!clouds fm radio ya WAFU!
   
 14. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  du, kumbe ndo maana , nilikuwa sijui meeeen
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Hilo Radio La WAFU mnalisikilizaga la nini?
   
 16. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hakuna cha zamu,anayestahili ndo atakuwa mshindi
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  JF sijui imekuwaje siku hizi? watu hamjasikiliza vizuri mnaanza kutokwa na mapovu......muda huo kilikuwa kipindi cha mahususi kwa wakina mama imean leo tena....ni maalumu kwa akina mama sana sana na wengi wao walio majumbani.....wana segment nyingi nyingi kwenye kipindi chao cha masaa ma3....
  ...sasa wakuu mlitaka waanze kumpigia kampeni lowassa? au Zitto?
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Rais 2015 hatoki kaskazini...this is according to Ridhwani and UVCCM Coast Region...kwani Asha Migiro amebadili kabila lake? kwa sasa si mpare wa kili (kaskazini)???!!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mhhh job true true tulikuwa na wafu mara wachaga sijui nini kitafuata...
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nani clouds????

  sio ajabu.
   
Loading...