Mauaji ya watu watatu wa familia moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya watu watatu wa familia moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kvelia, Jan 23, 2012.

 1. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mfanyakazi wa Bunge, Nicolaus Luther Senge amefariki dunia kwa kupigwa risasi na askari polisi katika tukio ambalo lilisababisha vifo vya watu watatu. Senge (49) alifariki dunia usiku wa kuamkia jana katika mauaji yaliyofanyika kwenye kikao cha wanafamilia Kibaha mkoani Pwani. Wote ni watu wa familia moja kisa ni ugomvi wa ardhi iliyopo huko Singida ambayo huenda hata sii fertile. Jamani kwa hali hii tutafika??????? Ni elimu bado au nini?????
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ukatili wa hali ya juu
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,603
  Trophy Points: 280
  Mmmh R.I.P.
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Nani kamuua?kwa sababu gani?tatizo ni ardhi sawa ililetaje mgogoro huo?nk hayo ndiyo hasa ungetakiwa kutuelewesha sio unatoa habari kama vile unakimbizwa
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mbona unaleta habari kama vile unakimbizwa?kauliwa na polisi kwa sababu ipi?ugomvi ulitokana na shamba la singida lililofanya nini. Je polisi walipora hilo shamba?sijaelewa ipasavyo
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Kwa kupigwa Risasi na police hao police waliendaje kwenye kikao cha familia na kupiga risasi?
   
 7. mwanamwana

  mwanamwana JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 180
  lete habari iliyokamilika mkuu.
   
 8. t

  twijuke JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapendwa tunaingia jf kupata habari, so mtu unapoleta habari lete kitu kinachoeleweka kwa maana ya kichwa mikono na miguu, na si kiwiliwili.
   
 9. a

  amenyamana Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani familia ya kaka nico poleni sana tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu sana Mungu awape uvumilivu pole felista,pole Recho na Neema mazishi yatafanyika wapi?
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  jitahidi kuja kwa kina mkuu.hapa ni GT
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Polisi ni mmoja wa wanafamilia aliyehudhuria kikao hicho, na baada ya kushindwa kufikia suluhu, ndipo aliwaua ndugu zake wawili na baade kujiua.
   
 12. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Police wa tanzania bwana!
   
 13. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Ndio Maana Siku Zote Tunasema ni muhimu kabla Mtu Hajapewa Silaha lazima apimwe Akili!! Angalia sasa Huyu Muuaji aliyekuwa na silaha Ameweza kuwaua ndugu Zake Je angeweza kweli kumlinda Raia?? Jeshi la Polisi Take a note!!
   
 14. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  njaa nayo ikishauma utajua tu
   
Loading...