mbona Tbc ni wakenya tu'tutapata wapi habari za madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbona Tbc ni wakenya tu'tutapata wapi habari za madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jan 23, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  jamani sisi huku kijijini tumesikia madaktari wamegoma lakini kwenye tbc news ni habari za wakenya tuu!jamani tunaomba kujua wameamuaje?tutegemee vifo vya wagonjwa???
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  kWA MAANA HII WATU WATAENDELEA KUDAMKA KESHO KUELEKEA mUHIMBILI NA hospitali zingine za serikali, bila kujua kuwa wanapoteza muda, kumbe wangejua wangebadili mwelekeo na kujiendea zao kwa akina Mama Ngoma!
  Nahisi madaktari wameamua Hospitali zao binafsi zipate wateja japo kwa siku kadha!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  pakajimy nimeshangazwa sana na uamuzi wao wa kuweka habari za kenya kuwa za kwanza na kutumia dk 10 kuzitangaza'hawa watu vipi jamani??hawatujali??kwani habari za kenya zinatuhusu?
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wakati wanajipendekeza na habari za Kenya, KBC wako bize kuturushia mechi za AFCON.
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Yanauzi kwelikweli
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Media zote zimesema hazitatangaza kituchochote kinachohusu madakitari kufatia kitendo cha madakitari kuwatimua wa andishi wa habari mkutanoni!!
   
 7. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  me nimeona mlimani TV wametangaza habari za mkutano wao huko Don bosco lkn sijasikia kuwa wamegoma.sasa sijui lipi ni lipi.ah nchi yetu hii nayo jamani???
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni aibu TBC kuacha kuonesha habari za muhimu za hapa nchini na kukimbilia kuonesha habari za Wakenya! Kenya wenyewe hata siku moja hawawezi kuonesha habari za tz kama habari kuu. Kwa jinsi tunavyojidharau wacha tu watu wa kuja waendelee kutudharau na kutuona mazoba
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wamejipanga kutangaza matangazo ya vifo.
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ningumu kutangaza habari za mgomo wa madoktaz itawapa publicity, serkali inalijua hilo. hawataki wanacnhi wajue.
  Anyways wenye ndugu zao mahututi ndio watajua uhalisia
   
 11. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  TBC ilikufa pale walipomtimua Tido. Kama aliweza kutuonyesha premier league, asingeshindwa AFCON.
   
Loading...