Hivi kwa nini wafanyakazi wa afya wanadharauliwa kiasi hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini wafanyakazi wa afya wanadharauliwa kiasi hiki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwetu Iringa, Jan 23, 2012.

 1. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni mgomo gani ambao utaathiri sana wananchi wa kawaida (wale ambao hawawezi kupelekwa India kwa matibabu) baada ya kutotimiziwa stahili zao kama haawa wafuatao?

  Marubani
  Wabunge
  mawaziri
  wafanyabiashara
  madereva
  wafanyakazi wa afya
  mashushushu (walinzi wa ccm na watawala)
  polisi
  wanajeshi
  n.k. ?????

  Naomba jibu.


  Swali la nyongeza:

  Kwa serkali makini inayotambua kuwa hali ya uchumi wa nchi yake iko taabani, kulikuwa na umuhimu gani wa kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru zilizotumia mabilioni ya fedha ambazo hazikuwa kwenye budget ya 2011/2012??

  JK is a total failure!! Probaly he is deliberately punishing Tanzanians for not electing him as President in the 2010 elections (he knows he did not genuinely win the elections!!!!)
   
Loading...