Zanzibar iko mbioni kuzama baharini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingadvisor, Jan 25, 2012.

 1. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mkutano wa wataalamu wa sayansi wa kuzindua INTERNATIONAL YEAR OF PLANET EARTH (IYPE) uliofanyika hotel ya Ngurudoto hotel kuanzia tarehe 8-9 may 2008 Arusha na kushirikisha wanasayansi waliobobea kwenye mambo ya Global warming ullripoti kuwa visiwa vyote vya Tanzania ikiwemo Zanzibar na Mafia vitauwa vimezama kabisa majini itakapofikia mwaka 2100.Walieleza mfano wa kisiwa cha Ras Nungwi huko Zanzibar ambacho tayari kimeshamezwa na maji kwa mita 100 na kiwango cha maji kinaendelea kupanda kumeza Zanzibar Taratibu.

  Bara tusishangae iko siku tutawaona wanzanzibari wanalilia muungano wakiwa wanaelea kwenye maji kama samaki.
   
 2. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA VISIWA VYOTE VYA BAHARI YA INDIAN OCEAN VITAZAMA VISIWA HIVYO VIKIWEMO, MAURITIUS, SEYCHELLES, COMORO, REUNION, MADAGASCA n,k

  unajua kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko visiwa vyote hivyo vilivokuwa jirani na Zanzibar.

  Mnafiki mkubwa weeeeeeeeeeeee.........wanasayansi wa uwongo walikupoteza:juggle:
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Vizame haraka wapotelee mbali wasumbufu sana hao viumbe. Kama vp wahamie Oman
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hii habari akiisoma Jussa lazima ataiwasilisha BLW,madai yake kwanini mambo ya Zanzibar yajadiliwe Arusha ha ha ha ha ha.

   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  2100 mbali sana
   
 6. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama yaliandikwa na Kingadviser ni kutoka tafiti za kisayansi, hutakiwi kuwahukumu wanasayansi!!

  Basi utupe maelezo ya yaliyoipata rasi ya Nungwi Zanzibar.
   
 7. Fatal5

  Fatal5 Senior Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  "RAS NUNGWI IMEZIDI KUWA NA MAENDELEO KWA ZANZIBAR INAINGIZA PATO KUBWA KWA TAIFA LA ZANZIBAR "
  [h=1]Ras Nungwi[/h]Situated in Nungwi in the northern part of Zanzibar, Ras Nungwi is a piece of Zanzibar heaven. This is the best place for diving and snorkeling on Zanzibar
  Ras Nungwi is a piece of Zanzibar heaven. Situated on the northernmost peninsula, it offers guests the opportunity to experience the beach-holiday of a life-time, as well as the chance to experience the magic of the local Swahili culture of the nearby Stone Town.

  Ras Nungwi is every divers dream! Situated on the northernmost peninsula of Zanzibar, the resort is located on the Indian Ocean and running alongside a beautifully unspoiled coral reef. Here the marine life is teeming with local fish as well as dolphins and turtles.

  Ras Nungwi boasts excellent diving facilities for both beginners and experienced divers and snorkellers – allowing you to explore and enjoy this awe-inspiring marine life up-close-and-personal. Of course, if you'd prefer to keep your head above the surf, why not try your hand at one of the other water-sports on offer at the resort, such as windsurfing, kayaking and dhow excursions around the island.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  HAYO NDIO MAELEZO YALIYOIPATA RAS NUNGWI
  WAZANZIBARI WA LOCAL HUKO WANALALAMIKA KWA VILE WATALII WAMEZIDI KUWA WENGI KWA AJILI YA UTAMADUNI WA KI ZANZIBAIS[​IMG]
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Mbona ya rift valley kuachana na kupisha bahari huisemi?
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  FF, sometimes you are too exreme to the extent of loosing simple reasoning.
  Kwa kuwa aliyeleta hiyo taarifa ya kuzama kisiwa cha Zbar basi alitakiwa azungumzie kuachana kwa rift valley kupisha bahari! Hiyo kwake haikuwepo, kwa kuwa unayo basi iweke hapa.
  Mbona amezungumzia na visiwa vingine pia?
  Usiwe na akili za ki-Jusa Jusa bana.
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Huyu FF atakuwa ni mke wa Jusa ! Hivi sasa Zenj ikipotea, ile mipaka ya bahari itakuwaje?
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  watadai bahari yote ya Hindi ni znz
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hii habari nilishaisikia na kuna kisiwa karibu na India, jina limenitoka, Rais alishafanya hadi kikao cha kujadili hili tatizo akiwa chini ya maji na anapumulia mitungi ya Oxygen.

  Visiwa vingi vya bahari ya hindi vitamezwa within 100 years to come.

  Nafikiri Wazenji wa siku hizo ambao watakuwa wajukuu wa akija JUSA, watakuja Tanganyika kama Wakimbizi na si kuja kuomba Muungano maana wao kwenye Muungano wataleta nini? Kama Bahari na maji yatakuwepo kibao.

  Lakini kwa Sababu watakuwa na mafuta, basi watanunua mi-meli mikubwa sana au Miboya mikubwa na kuanza kuelea huku wakipokea kila siku vyakula na maji kutoka Tanganyika. Watabaki wakiishi juu ya maji kama wanavyoishi watu huko Thailand, Indonesia, Viet-nam nk juu ya mitumbwi.
   
 13. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Kwa akili za "KIJUSA" wataichukulia taarifa hii kuwa ni ya kuwafanya waone muungano ni Muhimu kwao. Wandugu ukweli ni kwamba wanatamani muungano na sultanate of Oman....
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Wewe utakuwepo?
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Habari ni za INTERNATIONAL YEAR OF PLANET EARTH (IYPE) zinazohusu Tanzania. Au rift valley haipiti Tanzania na hauna habari kuwa itaachana?
   
 16. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bora kizame ili watu waache kutukana walezi wao
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu umeniwahi, ni kisiwa cha maldives kipo karibu na sri lanka. Nimefika huko 2009 hali ni mbaya sana na kila siku maji yanazidi kuingia nchi kavu na kuna visiwa vidogo vimekwisha funikwa na maji watu hawajui siku wala saa. wenyewe wanasema sasa hivi likitokea janga kama la tsunami basi tutakuwa na historia ya maldives.

  Sasa hivi wanampango wa kununua ardhi nchi nyingine ili waje kuhamia baadae. Hili tatizo kwa hapa kwetu tz pia lipo kama uliwahi kuishi bagamoyo miaka ya 2000 ukienda sasa hivi utakuta ardhi imemegwa mita kadhaa na maji na pia kuna mawe ya baharini yalikuwa yakionekana miaka ya nyuma sasa hivi yamefunikwa na maji.
  ziwa victoria nalo ndio hivyo linazidi kukauka hata samaki ni nadra kuwapata
   
 18. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Zanzibar si nchi ya muhimu wala ya maana ni kama Kigamboni, Kisiju.(zumbemkuu).
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Natamani itokee kesho!
   
 20. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Itabakia jamhuri ya muungano ya tanganyika
   
Loading...