Je wajua?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Wilaya ya pangani ina mkuu wa wilaya ambaye ubin wake unafanana na wilaya yenyewe "zipora pangani"napia inaonekana hajahamishwa kwa muda mrefu sasa tokea ateuliwe kushika wilaya hiyo
 
Mabara yote isipokuwa " Ulaya" majina yake huanzia na herufi A ka kuishia na Herufi A
 
Je wajua pundamilia hawafanan ile mistari yao kama sisi wanadamu tusivyofanana fingerprints
 
Je wajua kuwa mende akikatwa kichwa hufa baada ya sku kadhaa?Na sababu ya kufa kwake si kwa kuwa kakatwa kichwa la hasha.Anakufa kwa kuwa kichwa hcho ndo chenye mdomo kwa hyo anakufa sababu tu anashndwa kula.
 
Ingne hii.Je wajua kuwa njiwa huatamia mayai kwa kushirikiana? Yan nina maana jike akiatamia akitoka anamuachia dume aendele na zoez hlo.Na ndo maana kuna watu husikika wakisema"fulan na fulan wana mapenz kama ya njiwa"
 
Je wajua umri wa ndege aina ya kunguru huweza kuzd hata miaka mia ya kuish?
 
Je wajua kuwa, katika maraisi wote duniani JK ndo anaongoza kwa kutembea nje ya nchi yake. Historia inaonyesha ameshampita Vasco da Gama!
 
Je wajua kuwa ukilinganisha na maraisi wote duniani, JK ndo anaongoza kwa kuombaomba!
 
Je wajua kuwa JK ndo raisi wa kwanza duniani, kufanya presidential campaign yeye na familia yake tu!
 
Je wajua kuwa JK ndo raisi pekee duniani anayeongozwa na kupata ushauri wote kutoka kwa majini. Yani majini ndo yanatoa protocol kwa raisi, na sio usalama wa taifa
 
ingne hii.je wajua kuwa njiwa huatamia mayai kwa kushirikiana? Yan nina maana jike akiatamia akitoka anamuachia dume aendele na zoez hlo.na ndo maana kuna watu husikika wakisema"fulan na fulan wana mapenz kama ya njiwa"

kumbe wanaharakati wa usawa wa jinsia wameiga kwa njiwa
 
Je wajua waziri bazir mramba aliyewah kushka kitengo nyeti cha pesa enzi za mkapa jina lake la katkat ni PESAMBILI? Yan kwa lote linasomeka BAZIR PESAMBILI MRAMBA. ha ha ha wazaz walish2kia mchongo nahsi
 
Back
Top Bottom