Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Anna Makinda na Youtong zake nane...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga 25, Nov 5, 2011.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa chanzo cha kuaminika kabisa bi mkubwa huyu Tangia ameukwaa uspika ameweza kujiwekea hazina yake ya uzeeni kwa kununua yutong nane kwa mkupuo na kuingiza kwenye kampuni ya Super....... ambayo imeanza kushamiri kibiashara. Je amepokea ujira wake wa kusaidia magamba au ndio saving zimejibu???

  Safari ya haki ina kazi kweli.
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Harakati za kuzima upinzani pale bunge usidhani anazifanya bure hawezi kukosa kwenye club ya mafisadi. Naona ndo mambo yameanza kumnyokea baada ya kukubali kuwatumikia mafisadi.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nadhani major premise (siyo promise) inakataliwa kabla ya kuendelea na minor na conclusion. Ufisadi SIYO KUWA NA PESA NYINGI bali umezipataje hizo pesa hata kama ni kidogo?
   
 4. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  mkuu malizia hiyo super...............
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Sio siri, kaweka magari yake kwa SUPA FEO
   
 6. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  fe.......
   
 7. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Tumekwisha hata huyu naye yumo? This is within one year? Mpaka atoke si atakuwa ameaanzisha shirika la ndege au hata benki? Ninavyofaham mimi yuotong moja is not less than million mia moja na arobain 140,000,000/=

  Kwa hiyo ukizidisha mara 8 yaani 140,000,000*8=1,120,000,000/= yaani bilion moja na milioni mia moja na ishirini na sasa ana mwaka mmoja tu kazini inamaana kila mwezi amesave milioni 93 point something kwa ajiri ya kununua haya mabasi. Swali ni je analipwa shilingi ngapi?

  Au kama ameyakopa amepata wapi security ya kumuwezesha kukopa mali zote hizo wakati sisi huku mtaani hata ukitaka kukopa milion kumi tu unaambiwa lete hati ya nyumba na wakiithaminisha watakwambia thamani yake ni milion 6! Help us God
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  pale udom kachukua ekari 70 kuzunguka chuo sijui atalifanyia nini,awaulize akina mobutu waliomiliki nyumba za vyumba 100 vyote gold furnished.mwingine bokasa alikuwa na kiti cha gold na juzi kanali alikuwa na mguu wa kuku pure gold
   
 9. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Tumekwisha hata huyu naye yumo? This is within one year? Mpaka atoke si atakuwa ameaanzisha shirika la ndege au hata benki? Ninavyofaham mimi yuotong moja is not less than million mia moja na arobain 140,000,000/=

  Kwa hiyo ukizidisha mara 8 yaani 140,000,000*8=1,120,000,000/= yaani bilion moja na milioni mia moja na ishirini na sasa ana mwaka mmoja tu kazini inamaana kila mwezi amesave milioni 93 point something kwa ajiri ya kununua haya mabasi. [/QUOTE]

  Swali ni je analipwa shilingi ngapi? Au kama ameyakopa amepata wapi security ya kumuwezesha kukopa mali zote hizo wkati sisi huku mtaani hata ukitaka kukopa milion kumi tu unaambiwa lete hati ya nyumba na wakiithaminisha watakwambia thamani yake ni milion Help us God
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  humu jf nitakuwa siingii naamini nikiendelea kuingia na kusikia haya mambo nitaumwa kipanda uso kama mzito kabwela na sina wadhifa wa kupekekwa india.
   
 11. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kaka hii gari moja ni sh 200 million! Ndo ujue mnaliwa wadanganyika
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Ngoja nifanye makeke ya kumbandika mimba, mwanangu naye ale neema ya nchi
   
 13. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mbona ni vijisenti tu!! 1.6bln?
   
 14. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kila la kheri mkuu maana ukifanikiwa kwa hilo utakuwa umeula.
   
 15. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Duh mkuu kumbe niko out dated! Nilipewa hizo quatation tangu 2009 kuwa yuotong moja ni 140 million T-shillings kumbe yalishapanda kiasi hicho! Ndio maana naona maprofessor, madaktari na wasomi wengine wanaacha nyazifa nzuri mfano mzuri Dr. Kanakafumu-fFormer Commissioner wa madini now Mbunge Igunga) wanakimbilia kwenye siasa, kweli tunaliwa but yote yana mwisho.
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli afadhali uache manake kama huna hela ya kwenda bara hindi hakika kipandauso kitakumaliza. kwani mkuu nawe huwezi kugombea uongozi mahala nawe ukapata nafasi ya kwenda india.
   
 17. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jimboni kwake kwa Wabena Njombe Kusini, Maji ni ya shida na wachache waliobahatika kuyapata wanakunywa Maji yasiyosalama na yasiyochujwa.
   
 18. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chukua chako mapema!
   
 19. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kaka hii 2011 aise zipo juu kishenzi mzazi
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha kushangaa apa ndo mwendo wa kila mwana CCM wanashindana kujilimbikizia mali!
   
Loading...