mgomo wa waalimu wilaya ya Ileje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo wa waalimu wilaya ya Ileje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trigger, Jan 26, 2012.

 1. t

  trigger Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  Katika kuonekana kuchoka kuonewa na kudhulumiwa madai yao waalimu wa wilaya ya ileje wameamua kesho watakuwa na maandamano mpaka kwa mkuu wa wilaya mama E Wakari kutaka kujua hatima ya madai yao ambayo yamechakachuliwa kwa kiasi kikubwa.
  Madai yao yamekuja baada ya ofisi ya uhasibu kuamua kuhakiki madai mara ya pili wakati mwanzo katika uhakiki walishiriki pamoja na idara ya elimu na cwt wilaya,jambo la kushangaza ni kwamba baada ya fedha kuja halmashauri wameamua kuhakiki tena na kupunguza madai ya walimu walio wengi,je hayo madai walio punguza kwa walimu fedha zitarud hazina au ndo wanataka kujitengenezea posho kwan ikumbukwe wilaya hiyo yasifika kuwa katika wilaya zinazoongoza kwa ufisadi kwa mujibu wa wazir wa Tamisemi
  Kesho asubuh natarajia kuwa wilaya ya Ileje kuwajuza zaidi nini kinaendelea katika mgomo huo
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Madaktari ilianza Muhimbili ikasambaa..
  Walimu ileje kesho wakifanikiwa basi itasambaa nchi nzima
   
Loading...