Uhaba mkubwa wa maji dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhaba mkubwa wa maji dar!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Jan 27, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Wadau tangu Jumatatu nasikia huko Dar...kuna uhaba mkubwa wa maji mbona DAWASCO wapo kimya?
   
 2. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Sehemu/Eneo gani hakuna maji??!
   
 3. W

  Wenger JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Mbona Sinza maji ya kumwaga tuu!
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa kaniambia Sinza A na Kijitonyama hakuna maji kabisa...
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Hata mbezi beach hakuna maji toka juzi na hakuna taarifa yeyote!
   
 6. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa mwambie ahamie kawe, hakuna shida ya maji wala umeme. Vyumba bei poa sana elfu 25 mpk 50.
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watu wa dar wamekaa kimya.
  Wewe wa mpitimbi unasema maji hakuna.
  OTIS
   
Loading...