Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

haya nayo ni matatizo ya MA DK AMA SERIKALI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MH WAZIRI MKUU EMBU KAPIGE RANGI NYUMBA BANA USITUMIE UCHAKAVU WA NYUMBA YA WAZAZI WETU UKIONDOKA UDAI UKUCHUKUA KITU SIO SOLN BANA WENGINE TUNAPATA KIDOGO TUNATENGENEZA KWETU KIJIJINI NINI WEWE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani wakubwa wa JF nasikia madaktari wa MNH wamerudi kazini, kuna ukweli wowote juu ya madai hayo? hebu wenye taarifa ya MNH na mikoa mingine nchini walete updates. Tunawasubiria please.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto wa aliyekua raisi wa Zambia Rupia Banda anatafutwa na polisi nchini Kenya baada ya kutoroka nchini Afrika Kusini kufuatia tuhuma zinazomkabili kuhusiana na matumizi mabaya ya fedha wakati...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ni mekaa nikafikiri mambo magumu na mazito ya kusikitisha yanayo tokea Tanzania nikakumbuka msemo wa yule msanii wetu babariz kuwa anataka kufanya mambo ambayo lazima watu wamkumbuke pindi atakapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwako JK, Toka sakata la madaktari na wizara ya afya lianze takriban mwezi mmoja sasa tumeona majibishano mengi kati ya watendaji wa wizara, madaktari na jamii nzima kwa ujumla. Aidha humu JF...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama waziri mkuu anathubutu kutangaza hadharani wabunge waliokosea wabatilishe usemi wao naomba ma dk wote najua mnatupenda mna mapenzi mema na sisi lakini hata wakiafiki kuwalipa mafao yenu...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Kama tutaendelea hivi sidhani kama tutafika anna makinda nani aliewahi kukuomba pesa mpaka ukasema ati sisi tunapewa mishahra sababu ya familia ninyi mnakuwa na shida sababu mnaombwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sakata la Miposho ya Wakalia Sponji kule Mjengoni limepata sura mpya pale ambapo Kurugenzi ya Rais upande wa Mawasiliano ilipokanusha kauli za viongozi wa Serikali Mjengoni kwamba Mkuu wa Kaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania,maisha yamekua magumu dodoma kwa wabunge na mawaziri pekeyao, au hata na wafanya kazi na wananchi wote kwa ujumla?naona wabunge wameboresha mishahara yao kwa kuongezeana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NSSF imechangia 277.72 billion kwa ujenzi wa chuo..Hakika wanastahili sifa maana chuo kwa maana yabmiundo mbinu.kilichobaki nibswala la utawala na mambo kama hayo.thanks
0 Reactions
1 Replies
998 Views
tupunguze umri wa kustaafu ili na vijana tupate kazi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jf members, kuna duka (money link) liko mtaa wa samora huko dsm linasifika kwa kusafirisha hela za kigeni kwenda nje ya nchi na hakuna trtb sawia zinazofuatwa, wwnye data zaidi plse wekeni hasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wa kwangu mimi NIONAVYO NA ninavyoamini ni kwamba ,HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MGENI WA NJE AJE KWA MOYO MMOJA AIENDELEZE TANZANIA NA WATANZANIA KWA NJIA HII TUNAYOTUMIA SASA YA...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Sababu ni hali ngumu ya maisha waliyonayo wabunge wa TZ. Source. Makinda
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, nikiwa nafuatilia azimio la serikali kuhusu charter ya vijana kwa umakini mkubwa. Umefika wakati anachangia mh. Felix Mkosamali mara matangazo yakaanza kuingiliana. Nasikia mdada mmoja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Source: Mange Kimambi Blog: [mods tafadhali msiondoe kama mnawatendea watanzania haki hizi ni picha zao wenyewe] Baada ya tusi la binti mfalme kuturingishia hekalu lake [hisani ya mwandishi wake...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hembu angalia na utafakari tena huu upuuzi wa Masoud Kipanya!
2 Reactions
42 Replies
10K Views
Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkutano umeanza.wabunge wengi kwelikweli utadhani jana hawakuwa dodoma.kwa hili nadhan tunaimprove miundombinu.mbele yangu yuko zitto kabwe, deo furikujombe.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…