Updates from muhimbili national hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates from muhimbili national hospital

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ecolizer baba, Feb 1, 2012.

 1. e

  ecolizer baba Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 40
  jamani wakubwa wa JF nasikia madaktari wa MNH wamerudi kazini, kuna ukweli wowote juu ya madai hayo? hebu wenye taarifa ya MNH na mikoa mingine nchini walete updates. Tunawasubiria please.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,056
  Likes Received: 6,504
  Trophy Points: 280
  Wanachanganyikiwa kama viongozi wao.
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Hao uliowaona ni Askari Jeshi, ndio wanaofanya kazi hapo. Siyo wale waliogoma.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 4. l

  lemikaoforo Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama shida ya pinda ni kuwaona wanarudi kazini c tatizo,tatizo ni kutoa huduma,
  Viongozi watz walioko madarakani wanadhani dr's are exceptional creatues hivyo wanastahili kuwa na maisha ya mshumaa ILA wabunge ndo wanastahili kusikilizwa na kubembelezwa (Yuko wapi Luhanjo,David jailo,na wengine wengi)
  Nani zaidi kati ya Wabunge na DR.JK -
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Habari ulete wewe halafu utuulize sisi, hivi akili zako zina akili kweli? kwani ni lazima uanzishe thread!!??
   
Loading...