Ormie is a Pig, in every sense of the word. Pig see cookie. Pig want cookie. But they are out of reach... or are they? See Ormie's attempts to gain the warm sweet taste that is his obsession.
I have been a great fan of movies and tv series for quiet long time now.....I prefer the most of American movies. through that i have been across two different stories which they try to portray...
wakuu natazama news kutoka tv yetu ya Tbc'eebanae nilichogundua ni kwamba madaktari bingwa wote walio hojiwa ni wachaga aisee'kumbe wamangi wamejichimbia sana ndani ya nchi hii'namshauri kikwete...
hii habari ya kwanza kwamba wana ccm wasichague viongozi wenye kashfa haikuonyeshwa kwa sababu za kiufundi napata mashaka kwa kua kulikua na muda wa kuiandaa ukiziingatia tbc walikua live,hakuna...
Suala la posho linakuja kwa kasi na kugonga hisia za Watanzania kila kukicha. Ukianzia kwa wabunge, wanaomba kura kwa wananchi ili wawe wawakilishi wao dhidi ya serikali. Vikao vya bungu ni sehemu...
Nime 'observe' kwa muda sasa na kugundua kuwa ndani ya sekta ya umma hasa katika ngazi za maamuzi utendaji unazingatia zaidi maagizo;
hakuna new innovation. mfano katika ngazi za mtaa/vijiji, kata...
Katika maadhimisho ya miaka ya kuzaliwa kwa CCM kuna mkakati wa kurudisha kadi za CHADEMA unaoratibiwa na idara ya propaganda ya CCM kuonesha kama ni wanachadema waliochoshwa wanarudisha kadi
Blog ya Francis Godwin imesema magari ya wabunge wa ccm na waandishi wa habari yamwgongana
Iringa kwenye msafara wa Mh pinda.
Inaonekana ccm wanataka kutoa kafara kwenye misafara.
Heshima kwenu wadau,
Si watu wote wanaonunua viwanja mara tu vinapopimwa na manispaa husika, hii hutokana na kukosa pesa wakati huo, kutokuwa na habari au kuwa mbali wakati upimaji unapofanyika...
Leo nikiwa napitiachapisho lisemalo "the last days of JMKariuki" nimekutana na jina la Peter Kinyanjui alias Mark Twist. Kwa wale vijana wa zamani jina la Mark Twist si geni kwa jinsi huyu jamaa...
Ni kweli akili za wana magamba100 ni sawa na mbuzi 4 !! Mimi binafsi nikimkuta mtu wa magamba kadondokewa na mti nachukua jiwe naliweka juu.. Nipo Dodoma hoteli jamaa wa magamba wanakula bata yani...
Ripoti ya Mukama kwemda kwa JK inautaja mtandao wa Jamii forum kuwa unaundwa na vijana kutoka CHADEMA.
Ripoti hiyo iliondaliwa na Wilson Mukama pamoja na Prof. Eginald Mihanjo wa St.Jones...
Huyu EL ni kituko cha mwaka,hajui kama watanzania washajua janja yake ya kufanya harambe ni yakuficha maovu yake? My Take kwake aache kuwahada wachungaji wenye dhiki ya maisha ili wampe mialiko ya...
mimi ni mdau wa Tigo siku ya tarehe 3.1.2012 nimetuma pesa Tigo kutoka kwenye A/C yangu 20.000. kwaajili yakununua LUKU wakanitumi ujumbe MUHAMALA WAKO UNA SHUHULIKIWA.. chaajabu mpaka hi leo...
Kwanza kabisa niwapongeze TIGO kwa kuwa moja ya mitandao yenye wateja wengi mijini na vijijini, pia niwapongeze kwa kuona uwepo wao hapa JF. Pia napenda kutamka wazi kuwa kuna thread nyingi...