Waalimu wakigoma, Majeshi wataweza kazi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waalimu wakigoma, Majeshi wataweza kazi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGEUZI KWELI, Feb 5, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mtanzania la Leo limegusia waalimu kutaka kugoma kisa mshiko wao,
  Hapa sasa sijui ni mtu mzima tena anatishiwa nyau?
  Je Majeshi watachezea Chaki??
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Na hao wajeshi wanataka kuongezewa chao...maana nao wana madai yao ila wanashindwa pa kuanzia tu
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Zile mashine za kisasa zinawatoa nishai wanadhani ni mitambo ya nuclear
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakigoma tunaleta wanafunzi waliomaliza form six a.k.a. Crash program
   
Loading...