Peter Kinyanjui alias Mark Twist aliyehusishwa na kifo cha JM Kariuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peter Kinyanjui alias Mark Twist aliyehusishwa na kifo cha JM Kariuki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Feb 5, 2012.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Leo nikiwa napitiachapisho lisemalo "the last days of JMKariuki" nimekutana na jina la Peter Kinyanjui alias Mark Twist. Kwa wale vijana wa zamani jina la Mark Twist si geni kwa jinsi huyu jamaa alivyokuwa akitamba katika viunga vya DSM miaka ya 80 na kuendelea. Kinachonifanya nimlete hapa jamvini ni kwa jinsi anavyohusishwa na mauaji ya kikatili ya mwanasiasa mashuhuri wa Kenya JMKariuki. Je huyu Mark Twist alipotelea wapi au ndiyo katangulia mbele ya haki? Mchango wenu tafadhali.
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa FAT (sasa TFF)...................... katika miaka ya 90 akijulikana kama alhaji somebody............... aliamuriwa kuondoka nchini na mh mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani .....................na kusindikizwa na polisi hadi mpakani namanga.............. ila badala ya kuelekea kwao kenya alienda UK anakoishi raha mustarehe hadi leo...................
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu ahsante kwa taarifal. Nielimishe zaidi kwa kunieleza ni vipo kame yeye ni mkenya aliupataje umakamu wa FAT? Si kwamba ana umuhimu sana isipokuwa kwa jinsi alivyoweza kuwa informer wa CID ya Kenya mpaka kupelekea mauaji ya JJ nimepatwa na shauku ya kumfahamu zaidi.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kinyanjui aliupata umakamu wa FAT kutokana na uzembe wa waTanzania kwani alijiingiza na kujifanya raia; our country was/is easily penetrated na foreigners , ndio maana kuna wasomali wengi wanaingizwa nchini kwa kutumia passport zetu simply because kuna wasomali matajili walioweza kuwaweka mifukoni viongozi wa nchi!!
   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni ya kweli haya?
   
Loading...